Dawa ya kutibu UKIMWI

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
613
Reaction score
1,266
Nimetafakari sana kisha nikajiuliza, inakuwaje leo hii Teknolojia imekua sana kuliko hata miaka hiyo ulipogunduliwa UKIMWI lakini bado dawa ya kutibu kabisa UKIMWI haijapatikana?
Naomba mchango wenu wa fikra.
 
Kuna daktari mmarekani anaitwa Dr,. Sebi inasemekana aligundua natural remedies za kuondoa magonjwa mengi ikiwemo diabetes, ukimwi hadi aina kadhaa za cancer. Hiyo ilikuwa in the 90's

Mwaka 1993, alishtakiwa New York na kuamrishwa asidai kuponya magonjwa.

What does this tell us about power and control?
 
Inasemekana
 
VIrus wako trick sana.

HIV zinajificha ndani ya seli za binadamu.
Mpaka watengeneze dawa ambayo itaweza kuingia ndani ya seli ya binadamu, kuua virus, bila kuua seli ya binadamu.
Na kibaya zaidi seli hizi ambazo viruses wanajificha ni seli kinga ambazo zinatuza kumbukumbu ya magonjwa ambayo yamewahi kuushambulia mwili.
UKikosea hiyo dawa ikaua seli hizi maana yake yale magonjwa ambayo yamewahi kuushambulia mwili yatarudi tena na kuushambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…