Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,081
- 2,798
Shida nikinyoa saluni natoka upele, baada vinakuwa vidonda. Ndo maana natafuta hii dawaShida nini mkuu
Ni vile nina shida ya ngozi, nikinyoa saluni natoka upele baadaye vinakuwa vidonda. Na ndiyo maana natafuta hii dawaNaombea mleta mada awe mwanamke
Alinielekeza, nimeenda napo sijaikutaKamuulize mwenye supermarket aliitoa wapi mwanzo ufate.
Ilifanya kazi fresh. Sasa naitafuta tena siipati madukaniMkuu, mara ya mwisho haikufanya kazi?
Sidhani kama kunyoa ndevu ni kuwa msichana.Unataka kuwa msichana?
Angalau nizuie upele maana huwa vinakuwa vidondaUnataka kua na kidevu nyororo kama Yai?
Zipo after shave ambazo zinatibu hilo tatizo mkuuAngalau nizuie upele maana huwa vinakuwa vidonda
Ni temporary mkuuHivi ndevu zinatokaje wakati zinasababishwa na hormone ya testesterone?au ni temporary removal?