Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Walevi bwana, kazi kweli kweli, unakunywa dawa kabla ya kilaji chenyewe. Wenzako wanapenda wanywe walewe hata wiki ndiyo anarizika.
 
Hiyo username yako inanipa mashaka.. Nways hangover haina dawa.. Atleast soup inasaidia ingawa naye si dawa kuwa ukinywa hangover inakata fasta

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Chenge Hiyo avator yako inatosha kuondoa hangover pia:bowl:
 
Nimeipenda hii maana wengine wakinywa kesho yake ni ngumu kuamka.
 
mkuu .... andaa promotion tuone kama ni kweli .... Mahal penye nyama ya ukweli

je? dozi yake unakunywa vichupa vingapi ...... hiyo chupa ina volume gani .... mls ngapi?
 
Hiyo username yako inanipa mashaka.. Nways hangover haina dawa.. Atleast soup inasaidia ingawa naye si dawa kuwa ukinywa hangover inakata fasta

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahahahahhaaaa jina la chenge linakupa wasiwasi
 
Kutaka kunywa pombe na usipate hangover, ni sawa na kutaka kufanya mazoezi na usitoke jasho.
 
kunywa maji kwa wingi kabla hujalala au asubuhi piga supu fresh basi hakuna hangover
 
Hiyo namba ni ya Mbinguni au sayari gani?
 
Unatengeneza mwenyewe nyumbani
 
Mimi nakwambia omba usije kuamka na Hangover 2! moja ni ya kinywaji na ya pili ni ile ya kwenye 6x6 nakwambia hiyo dawa haisaidii kitu!
 
Hata Red Bull/Robust/Bulldog na nyingine aina hizo ni safi sana kwa hang over au hata kama umeshika maji sana na unaohisi huwezi endesha gari vizuri piga hizo zinasaidia narudia zinasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…