Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Tafuta lisupu lililojaa milimao ya kutosha (sio uende ukanywe hayo maji ya nyama hapo kwa mama ntilie Mwenge useme supu, kunywa supu ya ukweli), hakikisha unashiba vizuri kabisa. Ukishamaliza hapo kandamiza licoca bariiidi. Halafu sikilizia.
ONYO: USITUMIE HII NJIA KAMA ULIKUNYWA GONGO.
 
kunywa tena kidogo best na unywe maji mengi,supu au mchemsho!ila ndio ukome usirudie tena lakini ray05!
 
Back
Top Bottom