Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,337
- 108,424
heheeee!hiyo kali,watu8 utaua mtu!
a.k.a mlenda....
Morning daddy!!!
hawezi kufa...atatapika tu then mipombe itamuisha mwilini
mh!haya, mi siku nikiwa na mi hangover nitajaribu kutumia hiyo juice ya bamia!
Hata mimi ila sio ya pombe!!!
Hahhahahaha thanx a lot. But nisirudie tena?? Ngoja nijitahidikunywa tena kidogo best na unywe maji mengi,supu au mchemsho!ila ndio ukome usirudie tena lakini ray05!
kunywa juisi ya bamia...
Bado una mning'inio tukutakie blue monday?
Stay sober then.....
working hard on that now......mtambuzi hanikamati tena na makitu yake!!!!!!:A S 103:
Hehehe...haya yangu macho!!:nimekataa:nimekataa
HahA upi sasaBado una mning'inio tukutakie blue monday?
Bado una mning'inio tukutakie blue monday?
kunywa mkojo wa mwanamke alie mwezini....
kunywa mkojo wa mwanamke alie mwezini....