Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

kula ndizi mbivu...tafuta tonic baridiii...kamulia na kipande cha ndim/limao....DRINK RESPONSIBLY...
 
kweli mkuu kunywa maji na ndizi ama watermelon. Siku nyingine uwe unakunywa konyagi ama heineken. Hizi hazina hangover
 
Dawa ya moto ni moto. Kama uko kibaruani, kamata sicksheet njoo hapa Fyatanga tuendelee kugida. Dawa ya ming'inio ni kuendelea kuutwika.

Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa!!!
 
Piga Mneli, Pafu mbili tu utakuwa poa..
 
Kweli wewe ni Asprin,dozi yako inafaa kama jina lako

Achana na hao amateurs wanaokudanganya eti kula ndizi, sijui maji, eti ndimu..... Njoo huku kwa maprofesheno bana. Dawa ya moto ni moto mkubwa zaidi.

Kunywa bia, okoa maisha ya wagonjwa mahospitalini.
 
Lizzy nawe upo,nilijuwa wewe ni mpendwa,aka mwana kondoo.but tajaribu

Hehehehe mimi ni mpendwa ndio.
Sema nimejifunza kwa kuwaangalia watufulani fulani. . .hata siku moja sikuwahi kuwasikia wakilalamika kichwa maana wakiamka wanazo.
 
changanya red bull mbili kwenye chupa ya lita moja ya maji.ukimaliza unakuwa mpyaaaa.pia ukinywa coke kabla hujalala unaamka mpyaaa
 
Dawa ya moto ni moto. Kama uko kibaruani, kamata sicksheet njoo hapa Fyatanga tuendelee kugida. Dawa ya ming'inio ni kuendelea kuutwika.

Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa!!!

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_nimeipenda hii,...dawa ya moto ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…