Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
DAWA NI KUNYWA TENA TUU IKIWEZEKANA ZAIDI YA JANA. THEN UENDE KUOGELEA EITHER BEACH OR POOL.:A S angry:
Hahhahahaha thanx a lot. But nisirudie tena?? Ngoja nijitahidi
Mrs Loya kumbe nawe unagegeda ndyofu???
mbona una mashaka ya kutokurudia tena ray05?min kwamba usinywe sana kunywa kwa kiasi bwna sio usinywe kabisa,unaonekana chapiiiiiiiii lol!
DAWA NI KUNYWA TENA TUU IKIWEZEKANA ZAIDI YA JANA. THEN UENDE KUOGELEA EITHER BEACH OR POOL.:A S angry:
sio kiivyo,mara moja moja sana kama hivi ukiokota pochi ya mzungu.Nitakunywa kila siku kama nikipata kazi kule BOT(nimetuma CV) au TISSSS
mmmh!haya kila la kheri ila ukipata BOT c ndio utalala TBL O SBL?
Iyo makitu inantesa mimi em nisaidieni dawa ya kuondoa (mning'ininio) hangover wakuu...,
Manake ishakuwa tabu ma doctors i need a help plz;-(
ndio maana niliachaga.
Hakuna raha duniani kama kuweza kuacha pombe. yaani najiweka kwenye nafasi yako nakuonea huruma sana.
Acheni pombe jamani.
hasara za Pombe.
Ndugu yangu Inawezekana achana na pombe. acha kabisa, wachie madalali, mafisadi wengine wanywe, wewe wa mshahara tu unapotea kaka.
- Matumizi- kwanza beer imepanda bei. ukiwa na elfu tano utapata hardly beer 3. kwa wale walevi kama mimi nilivyokua beer tatu ni kama umechokoza kiu so lazima upige atleast 5. Kipato chako kinaruhusu? Pombe will never allow you to think on that line. Ukitaka kukosana na mnywa pombe anza kumpigia mahesabu jinsi pombe inavyokula hela. kwa mfano. Kila siku unakunywa atlest beer tatu na umeanza kunywa for the last five years. nasema atleast beer 3 coz kuna siku hunywi na kuna siku unakunywa tano and above huku unatoa offer. ju,la hiyo miaka mitano utakua umetumia (1,600x3)x365x5=8,760,000/= minimum expenditure
- Pombe pia inazeesha haraka. ukiangalia sana uso wa mnywaji na asie kunywa halafu wawe rika moja you will see a difference. huyu mlevi ataonekana kama vile amemzidi mwenziye kiumri.
- Wengine wakinywa pombe zinashuka huku chini- you know what I mean
- Unakosa muda wa kufanya issue zako za kimaendeleo.
- unakua mtumwa wa pombe
- hangover asubuhi kazini
- Ajali- nimeona ajali nyingi za ulevi zinatia huruma, Kuna bwana mmoja alikua afisa Ardhi mjini Iringa, siku moja nilimkuta amelewa vibaya anaendesha gari kwa kujiamini sana barabarni alikua anjiona yeye ndio yuko perfect kwa kila analo lifanya. Kumbe alikua anaelekea bar ambayo nilikua naenda mimi pia. nilibahatika kuka naye meza moja nikampa tahadhari za ulevi na kuendesha gari, jamaa aliniambia huwa akilewa ndio anakua stable zaidi barabrani. my God after a month nilisikia aliingia chini ya lori wakati anatoka mafinga usiku huku amelewa, jamaa aliishia pale pale. R.I.P my friend.
- Ugomvi nyumbani.
- The list is Endless.
Please kama your only source of income ni mshahara na unakunywa 24/7. unakoenda siko. Try and evaluate yourself again.
njia nyingine ukilewa kabla haujalala meza vidonge viwili vya asprin. utaamka burudani.Ukijihisi umelewa kunywa red bull kabla ya kulala, utakapoamka tu asubuhi kunywa reb bull tena afu kunywa maji mengi. Baada ya nusu saa kunywa maziwa fresh glasi 1, kwisha kazi!
naa madafu pia.hata muwa ni dawa safi sana ya hangover,,