Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Nikiona nimezidisha mzigo tu nagonga maji ya baridi nikienda kulala alafu asubuhi nagonga tikiti la bariiiiidiiiii hapo nakua mpya,ila binafsi fanta orange inanibeba pia.
 
1, ASALI NA LIMAU
Asali na limau ni kinywaji bora kuliko vyote katika tiba hii. Ili kupata ahueni, kunywa mchanganyiko huo mara kadhaa kwa siku.

2. NDIZI MBIVU
Unapozidiwa na kilevi, kiasi kikubwa cha madini ya potassium hupotea, hivyo kwa kula ndizi mbivu kutakusaidia kupunguza makali ya hang-over.

3, TANGAWIZI
Andaa juisi ya tangawizi mbichi na kunywa kama ilivyo, au unaweza kuandaa kwa kukata vipande na uchanganye na maji. Chemsha kwa dakika 10, epua na chuja.

4,HEWA SAFI
Kiasi kikubwa cha oksijeni ingeweza kurahisisha hali ya mgonjwa na kupunguza sumu, kuwa na uhakika wa kushauri kukaa muda mrefu katika viwanja vya wazi, lakini si katika mionzi ya jua.

5, JUISI
Juisi, hasa fresh ya machungwa, husaidia kupandisha kiwango cha sukari kilichopotea na husaidia kuondoa dalili za uchovu mwilini.

Na. 2 sahihi kabisa
 
1.kachumbari yenye pilipili nyingi na malimao.
2. coca ya chupa bariiid xana.
3. canabis sativa
4. hard/rough shot sex
5. kuzunguka uwanja
6. ndizi mbivu kabla hata ya mswaki
 
1454300343114.jpg
 
Mkuu hangover sidhani kama ina dawa...utanisahihisha kama sipo sahihi

Kila nlichoambiwa kimedunda nimegundua miili haifanani na kila mtu anatumia alcohol yake kwa kiasi chake
 
Back
Top Bottom