Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya moto ni moto bana.......ndizi inaleta kizunguzungu.........
 
Hiyo kitu hainaga dawa.
Ni kupiga manjota ya kutosha huku ukisikilizia maumivu mpaka ipite.
 
Kongoro na pilipili mbuzi nyingi halafu sprite bariiidi
 
Dawa ni kukimbia kilometre moja Pombe yote inaondoka kichwani
 
Hiyo namba 2 imekuwa ikinisaidia sana. Kuna vile vindizi sukari vidogo vidogo, yaani ukivipiga vile vya kutosha! Unabeua tu, vinakata kabisa harufu.
 
Teh teh teh!!!!! Kumbe ukilewa unajitengenezea ugonjwa ambao baadaye unahitaji dawa ya kuutibu?
 
Hahahah yaan nina tatizo la hangover sugu kila ushauri umedundaaa

Nikiwa na hangover naumia sana nasema sinywi tena ikikata naenda kujipongeza tena na safari lager
 
Hahahah yaan nina tatizo la hangover sugu kila ushauri umedundaaa

Nikiwa na hangover naumia sana nasema sinywi tena ikikata naenda kujipongeza tena na safari lager
kama hii
 
Attachments

  • IMG-20151206-WA0028.jpg
    IMG-20151206-WA0028.jpg
    21.6 KB · Views: 377
Back
Top Bottom