Dawa ya kumdhibiti mwanaume asiyeeleweka

Ila hutokaa upate mwanamke wa hivyo Katika Dunia hii, wanawake wa ckuiz utamsikia akikwambia Kama mbwai iwe mbwai na ukimwaga mboga mi namwaga ugali.
 
Kumbe!! Waeleze ili waachane na haya matusi, "mwanaume gani wewe! Mwanaume suruali! Na utanikoma! Nitakuamgamiza wewe na mchepuko wako! Kafie mbali huko! Huna maana kabisa!!" Yapo mengi ya kudhalilisha.
 
Kumbe nini mkuu?

Nishawaeleza hapo juu kuwa "Kumtii mumeo ni kumtii Mungu'.
 
Back
Top Bottom