Ukimyima mwanaume tendo la ndoa umekaribisha michepuko

Utajua ujui

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
249
832
Siku mwanamke utakapofanya moyo wako kuwa mgumu katika kutoa tendo la ndoa. Basi ndipo Ndoa yako itakufa hapohapo.

Kiukweli michepuko au nyie mnayoita Malaya ina utofauti mkubwa sana.

Wanajali wanatoa kila kitu kwa wakati hawana maringo hata kama wanapewa hela.

Ushauri: Usiache kumpa utamu umpendae.
Tahadhal: Siku utayoacha, ndo siku mwanaume wako atakucheat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom