Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
Pia nashauri uwe unakula miwa hasa ile yenye maganda meusi, pia mchaichai kama alivyokusahuri member hapo juu na maji yatasaidia sana kusafisha figo zako. Pia hebu wasiliana na namba hii 0713 242058 anaweza kukupatia virutubisho vya figo. Ana dawa nzuri sana hata kwa wale wenye shida ya viungo, ni virutubisho tu si dawa za kienyeji.