kalokolaVIII
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 396
- 183
Taitu, mwatuli
sijaelewa umeandika nini lakini haujawahi kunilet down so ninajua utakuwa umeandika kitu cha maana... lol
Taitu, mwatuli
Ha ha ha ha, mkuu hizo ni salamu tu za kwetu a.k.a ufipanisijaelewa umeandika nini lakini haujawahi kunilet down so ninajua utakuwa umeandika kitu cha maana... lol
Dawa ya CHADEMA na wapinzani wengine imepatikana. Mjumbe mmoja wa Baraza la Wazee la CCM Taifa amependekeza kikaoni Dodoma kuwa dawa kuu ya wapinzani ni kuwaonesha wananchi mafanikio ya chama tawala kwa matendo. Mjumbe huyo ambaye alikuwa Makamu wa CCM Tanzania Bara amesema kuwa wapinzani kama CHADEMA hawatakuwa na la kusema ikiwa wananchi wataona mafanikio yaliyoletwa na CCM kwa macho yao wenyewe.
'Hakuna haja ya kutumia nguvu. Kuonesha tu kutatosha. Tukifanya hivi,chama chetu kitaimarika zaidi na kuzoa kura kwenye uchaguzi wowote. Tuachane na propaganda...tuitekeleze Ilani kwa matendo' alisema Mjumbe huyo
Ni matumaini yangu kuwa hata matumizi ya vyombo vya dola kuimarisha chama na kuusumbua upinzani sasa yatapungua au kukoma kabisa. Hakuna haja ya kukamata wala kushtaki wapinzani.CCM yetu yaweza kufanya jambo la kuonesha mafanikio kwa manufaa makubwa.Ni wakati sasa wa kufanya siasa kwa vitendo. Vyombo vya dola(kama alivyowahi kusema Mwenyekiti wa Taifa) havitakisaidia chama chetu cha Mapinduzi
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tataitu kalesa ...wakata uli? Huyo mbunge wa swanga alisoma na dada yangu pale mazwi sec. kabla hajakimbia shule akiwa fomu 2, akisimulia huyo bwana mambo yake by then hana tofati na leo . Hivi mkoa wa Rukwa tuna wabunge wa aina gani kama vile hatupo watu wa maana ngoja haki ya nani 2015 tuje tupambane atadead mtu hapoWe wa Sumbawanga hata hapo kwa Aishi hamyaoni mafanikio ya CCM? Tehe....tehe.....sisi huku Mpanda Tunayaona mafaniko ya Said Arf....wala hata hatuhitaji kuoneshwa....yanaonekana yenyewe.....Posuta....!
Ha ha ha ha, mkuu hizo ni salamu tu za kwetu a.k.a ufipani
Kwani lengo la Big results NOW NI NJE YA HUO MRADI WAO MWINGINE? Wahenga walishasema mfa maji haachi kutapatapa. Anguko linakuja kama usingizi. Je ni nanio ambaye alishawahi kujua muda, yaani dakika na sekunde ya kupata usingizi>? Sio mama wala baba kitandani hutawanyika kivyake. Waacha wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe.
Huo mradi wakuonyesha mafanikio walishauanza tangu mwaka jana lakini naona ulifeli,
Walijikuta wanaingia gharama kubwa sana kulipia matangazo yao kwenye vyombo vya habari huku wananchi wanazidi kuwakataa,
Tunawasubiri tena karibuni!