Dawa ya asili ya nguvu za kiume

Dawa ya asili ya nguvu za kiume

Basi mimi nimekujibu kutokana na mitazamo ya wanaume wenzio ambao wanasema kuwa chanzo cha maovu yote hapa duniani ni wanawake hivyo hata wanaume mnapofanya maovu pia yanakuwa yamesababishwa na wanawake kitu ambacho ni upumbavu kwa kweli
Nilianza na neno logic.
 
Mmmhhh!!! wanawake wabovu wapoje??? wanavyopiga hizo shoo wewe huwa unakuwepo?? au na wewe ni mbovu?
Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume mnayojisifia humu kuwa mmeyafanya ni tofauti kabisa na mnayoyafanya kiuhalisia? Kumbe.
 
muda ni adui number moja wa mwanamke
Kwani anayeoa na anayeamua ndoa ni mwanamke? Halafu inakuwaje unashangaa muda kuwa adui kwa mwanamke na huku haushangai jamii inayosababisha hivyo ambayo inamtazama mwanamke aliyechelewa kuolewa kama malaya au mwenye mikosi? Sasa kwa wanawake ambao wanaishi kutokana na mitazamo ya jamii ambao ni wengi unadhani kuna mwanamke atakayependa kuonekana hivyo?
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume mnayojisifia humu kuwa mmeyafanya ni tofauti kabisa na mnayoyafanya kiuhalisia? Kumbe.
hao wanaume unaosema wanapafomu vizuri kwa wanawake wabovu,waulizeni je performance yao kwa wanawake wazuri Ni ile ile au inaongezeka????
 
Kwani anayeoa na anayeamua ndoa ni mwanamke? Halafu inakuwaje unashangaa muda kuwa adui kwa mwanamke na huku haushangai jamii inayosababisha hivyo ambayo inamtazama mwanamke aliyechelewa kuolewa kama malaya au mwenye mikosi? Sasa kwa wanawake ambao wanaishi kutokana na mitazamo ya jamii ambao ni wengi unadhani kuna mwanamke atakayependa kuonekana hivyo?
hujanielewa,namaanisha mwanamke anawahi kuwa mtu mzima mapema kuliko mwanaume,siongelei ndoa hapa mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom