Dawa ya asili ya nguvu za kiume

Dawa ya asili ya nguvu za kiume

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
20,360
Reaction score
13,465
Acha kusumbuka na tatizo la nguvu za kiume,dawa hiyo hapo
IMG-20190707-WA0026.jpg
 
haya mapozi ndio yanamaliza nguvu za kiume haya.
enzi zetu kuona tu kiungio cha paja na mguu wa chini ni kama vile umeona papuchi.
usitupunguzie nguvu za kubaba mkuu
Ahahahaaaaaa amsha popo hiyo
 
wanawake wanapiga kelele wanaume hawana nguvu za kiume,swali linakuja je wewe mwanamke unavutia???? au una leta amsha amsha??
Mnatafuta sababu nyingine? Yaani wanaume bwana kila kitu lazima mtafute sababu ya kuwatupia lawama wanawake hivi mmeshawahi kukubali maovu yenu hata siku moja? Kila kitu mnasema chanzo ni mwanamke khee.
 
sio chanzo,unaposema mwanaume hana nguvu za kiume inabidi tukuangalie na wewe mwanamke,je unaamsha hisia??? sasa kwa mwanamke kwenye picha hapo huwezi ukakosa nguvu za kiume
 
hujawahi ona mtu kwa mke wake bao mbili ila kea mchepuko bao tano,mtu mpaka anatelekeza familia
 
sio chanzo,unaposema mwanaume hana nguvu za kiume inabidi tukuangalie na wewe mwanamke,je unaamsha hisia??? sasa kwa mwanamke kwenye picha hapo huwezi ukakosa nguvu za kiume
Mbona kuna wanaume wanatembea na wanawake wabovu kwa kila kitu na shoo wanapiga vizuri tu?
 
Mnatafuta sababu nyingine? Yaani wanaume bwana kila kitu lazima mtafute sababu ya kuwatupia lawama wanawake hivi mmeshawahi kukubali maovu yenu hata siku moja? Kila kitu mnasema chanzo ni mwanamke khee.
Hali kadhalika wanawake hivyo hivyo kila kosa wanawatupia wanaume. Kuna wengine ni kama ngozi ya kisigino huwezi shindana nayo maana zinaisha soli za viatu itakuwa akina siye?
 
Si kweli wanawake makosa mengi wanakubaligi sana tu ila wanaume hawataki kukubali makosa yao kabisa mara nyingi wakiambiwa wajirekebishe wanasema chanzo ni wanawake hivyo wanawake ndo wanatakiwa wajirekebishe halafu na wao watafuata
 
Logically ni hivi mwanamke ni binadamu na mwanaume ni binadamu. Sasa inapotokea tatizo katika kugegedana haalafu kutokee hoja kuwa tatizo ni lazima liko mwanaume, basi mwenye mtazamu huo ndo chanzo cha matatizo yoote ya duniani hapa. Ni kama kusema wachaga ni wevi wakati unaona kabisa wako wengine ni mapadre au makasisi ukijumlisha na masheikh kwa mbali.
 
Basi mimi nimekujibu kutokana na mitazamo ya wanaume wenzio ambao wanasema kuwa chanzo cha maovu yote hapa duniani ni wanawake hivyo hata wanaume mnapofanya maovu pia yanakuwa yamesababishwa na wanawake kitu ambacho ni upumbavu kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom