Dawa ya asili ya nguvu za kiume

Dawa ya asili ya nguvu za kiume

uo mzigo raha kuangalia tu ila ukimaliza kushughulikia jiandae kuondoka na fungas, na uti sugu nilikua nawapenda sana baada ya kuapata ma U.T.I na mpaka sasa nikiwangalia nabaki nalia
Wagoni utawajua tu heshima kwako simba
 
uo mzigo raha kuangalia tu ila ukimaliza kushughulikia jiandae kuondoka na fungas, na uti sugu nilikua nawapenda sana baada ya kuapata ma U.T.I na mpaka sasa nikiwangalia nabaki nalia
Mkuu hilo ni swala la usafi na kujali tu si vinginevyo,demu yeyote akiwa mchafu tu magonjwa hayo hayakosekani
 
Anha kwahiyo wake zenu wanakuwa washazeeka na ninyi mnakuwa bado vijana kwahiyo mnatafuta vijana wenzenu?
tafuta ndoa yeyote ya miaka 15 then angalia utofauti wa appearance ya mume na mke,mume ana 45, mke ana 40, lakini tayari unakuta mke amekuwa mtu mzima kuliko mumewe,hii ipo wazi kila mwanamke anajua

NOTE: sihamasishi wanaume wachepuke wake zao wakianza kuwa watu wazima
 
Yaah najua kwamba wanawake tunawahi kuzeeka kuliko wanaume hasa baada ya kuzaa lakini nilidhani ndo unataka kuhamasisha wanaume kuchepuka kwa sababu hiyo yaani ningeshangaa bora ulivyosema kwamba hilo siyo lengo lako nimekuelewa

Maana kuna wanaume wanachepuka hata kabla wake zao hawajazeeka halafu baada ya miaka kumi au zaidi ya ndoa ndo waje waseme kuwa wanachepuka sababu wake zao wamezeeka? Mungu atusaidie tu kwa kweli maana siku hizi hakuna ndoa hata wengine tuliopo nje tunaogopa kuingia tunasema kama ndo hivyo basi bora tufe bila ndoa tu kwa kweli nadhani hata Mungu mwenyewe atatuelewa
 
Sawa kabisa. Ukiishi kwa kufuata mitazamo ya wengine, unaishia kufanya character assassination
Sawa lakini ukweli unaujua kuwa ndo uhalisia wenyewe huo yaani asilimia kubwa ya watu wanaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii
 
Yaah najua kwamba wanawake tunawahi kuzeeka kuliko wanaume hasa baada ya kuzaa lakini nilidhani ndo unataka kuhamasisha wanaume kuchepuka kwa sababu hiyo yaani ningeshangaa bora ulivyosema kwamba hilo siyo lengo lako nimekuelewa

Maana kuna wanaume wanachepuka hata kabla wake zao hawajazeeka halafu baada ya miaka kumi au zaidi ya ndoa ndo waje waseme kuwa wanachepuka sababu wake zao wamezeeka? Mungu atusaidie tu kwa kweli maana siku hizi hakuna ndoa hata wengine tuliopo nje tunaogopa kuingia tunasema kama ndo hivyo basi bora tufe bila ndoa tu kwa kweli nadhani hata Mungu mwenyewe atatuelewa
Ila gegedo linapigwa kama kawa au sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom