Dawa mpya ya kuzindua watu ICU.

Diana-DaboDiff

JF-Expert Member
Jul 13, 2009
376
19
Ukiangalia video ya wimbo wa robo saa wa Amini utaona mtu aliepoteza fahamu na juhudi zote za madaktari kumzindua zinashindikana mpaka anapokuja mpenzi wake na baada tu ya kumbusu jamaa anazinduka.Hii imenifanya nifikiri hamna haja ya kutumia mamilioni kwa dawa na mashine za kuzindua watu,tuajiri wavulana na wasichana warembo katika kila hospitali wawe wanazindua watu wanaopoteza fahamu.
 
Wasiwe wa kuajiriwa, wawe ni wale ambao aidha ni wapenzi wa mgonjwa, au kama mgonjwa ni mume/mke wa mtu, basi aletwe partner ambae anahisiwa ana mahusiano naye(nje ya ndoa).
 
Wakati mwingine inawezekana huyo mpenzi wake ndiye aliyempa stress hadi akaugua.Kumleta tena hospitali inaweza kuwa sababu tosha ya Ziraili kutimiza maandiko.
 
Ukiangalia video ya wimbo wa robo saa wa Amini utaona mtu aliepoteza fahamu na juhudi zote za madaktari kumzindua zinashindikana mpaka anapokuja mpenzi wake na baada tu ya kumbusu jamaa anazinduka.Hii imenifanya nifikiri hamna haja ya kutumia mamilioni kwa dawa na mashine za kuzindua watu,tuajiri wavulana na wasichana warembo katika kila hospitali wawe wanazindua watu wanaopoteza fahamu.

Yule alizinduka kwa sababu aliyeimbiwa ndo kilikuwa chanzo cha yeye kuugua na ilikuwa bado robo saa afe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom