Dawa / mafuta au jelly ya kuzuia UKIMWI

Dawa / mafuta au jelly ya kuzuia UKIMWI

Wakuu habar za mda huuu,
Baada ya salam naomba nijielekeze kweny mada ya husika nauliza hivi hakuna dawa, mafuta au jelly ya kupakaa ili kujikinga na janga hili la UKIMWI hata mkifanya na muathirika usiweze kuuambukizwa ,

iwe ya kupaka kabla ya tendo au baada ya tendo ikasaidia kuua virusi wanaosababisha ukimwi maana watu wabanjuana sana ni raha na utamu ulioje kugonoka ila sasa ukifikilia Ukimwi hata mood ya kugonoka inakata.. Kama ipo naomba kujua inaitwaje na ni sh ngap wapi inapatikana..watu wa wengi nikiwepo na mm sipendi kutumia condoms maana sipati raha ya K vizuri tunataka kitu mnato nyama nyama pia wanawake hawazipendi wengine zinawawasha baada ya tendo.

Naomba kuishia hapa ili nisiwakele anaejua naomba atuelekeze najua watu wengi wanasubiri comment za wachangiaji kwa hamu waweze kujiokoa na janga hili.. Karibuni kwa michango yenu.
Mafuta ya bunduki ndio yatakufaa nenda tanganyika arms utapata
 
Bado haiwezi kuwa Suluhisho, kwasababu ile maneno lazima uipime kila baada ya miezi mitatu, sasa km Kipimo kikionyesha kuwa yupo safe kumbe Jana aliduu na akanasa utafanyaje??.
Inategemea utapima damu ipi ukipima damu kutoka kwenye mshipa mkubwa itaonyesha tuuh atakama umeubeba jana
 
Konk konk konk....oil chafu master mamba inakufaa nenda kanunue haraka halafu ulete mrejesho hapa.
 
Inategemea utapima damu ipi ukipima damu kutoka kwenye mshipa mkubwa itaonyesha tuuh atakama umeubeba jana
Mmmmhhhh hii mbona madactar wanakaa kwamba hamna damu ya mshipa mkubwa wala mdogo yote ni sawa huwezi ona virus wa ukimwi kabla ya miez 3 kupita toka uambukizwe??? Tuasaidiw hapo vizur
 
Fanya utafiti ili ugundue mwenyewe ndo utakuwa umesaidia watu wengi kama huwezi kuumiza kichwa subiri wazungu wakuletee
 
Acha uongo na ujuaji. Damu ni ile ile iwe ya kwenye kidole ama kwenye mshipa. Unataka kutwambia kuwa damu ya kwenye mshipa ni tofauti na iliopo kwenye kidole ama kwenye makende.??
Inategemea utapima damu ipi ukipima damu kutoka kwenye mshipa mkubwa itaonyesha tuuh atakama umeubeba jana
 
Tumia maji ya betri mkuu. Virusi watapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom