Dawa inayoitwa 'Kupona' na Unga wa Mchicha vinatafutwa

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Kwa yeyote anayefahamu, ninaomba anipe taarifa sehemu gani nitapata unga wa mbegu za mchicha na dawa inayoitwa kupona hapa Dar Es Salaam.

Ahsanteni sana.
 
Kwa yeyote anayefahamu, ninaomba anipe taarifa sehemu gani nitapata unga wa mbegu za mchicha na dawa inayoitwa kupona hapa Dar Es Salaam.

Ahsanteni sana.

Dawa ya kupona naiuza mwenyewe wasiliana nami kwa 0756587380
 
Dawa yakupona naiuza mwenyewe wasiliana nami kwa 0756587380
Ukini text itakuwa vizuri zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom