Mnadhani tatizo kushikana mikono? Tatizo maCHO...!! yakishaona Mzigo fasta yabapeleka Taarifa kunakohucka,,,,!!!
usishike na vitasa vya vyoo vya public, majengo na magari ya public au machuma kwenye usafiri wa umma.Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?
Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!
Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
usishike na vitasa vya vyoo vya public, majengo na magari ya public au machuma kwenye usafiri wa umma.
Hii thread inanifurahisha sana, ngona nione na wachangiaji wengine!
hehehe, huko canada hamna mwanaume amekuask out?. mi japo mkristo ningekuask.Nikafate nini huko?
sema tu mods hawajaiona,otherwise pengine huwezi kuikuta baadae.zangu huwa zinafyekwa
Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?
Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!
Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
Kweni wewe hujichokonoi huko kunako na kuwashika wenzako?
hehehe, huko canada hamna mwanaume amekuask out?. mi japo mkristo ningekuask.
Iko poa tu, sema baadhi ya wachangiaji wakuponze!
kama mchangiaji akichangia utumbo,kinachopaswa kufutwa ni post ya mchangiaji au thread nzima?
Endelea kueleza FaizaFoxy. Je, unanunua au hununui nyama buchani? Ukieleza hapo nami ntakueleza kitu.Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?
Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!
Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
kama ingekuwa hivi matatizo ya ugoni yasingekuwepo
Umepost thread nzuri kama hii, but katika kuchangia wachangiaji wao kwa wao wamechokoana na wanaendelea kuchambana kwenye hiyo hiyo thread yako, unafikiri what next?
post zao ndo zifutwe,sio thread yangu