Dawa aliyo nipa bibi inahatarisha uhai wangu

Dawa aliyo nipa bibi inahatarisha uhai wangu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,079
Reaction score
12,319
Salamu wana bodi natumaini ni wazima bukheir na munaendelea kulisaka tonge ili mkono uwende kinywani na watoto waendelee kukimbilia chooni. Ama baada yasalamu nawaomba kila mmoja wenu aniombee kutokana na imani yake ili niondokane na dhahama hii. Nakumbuka ilikua 1992 kipindi ambacho naingia katika barehe changa (16-18) kwakweli nilikumbana na changamoto za kukataliwa na wasichana. Kila niliye mtongoza alinikataa, wengine kwa hoja sikua na mvuto wengine waliniambia nimekaa kiboya boya (mshamba-mshamba) hali iliyo nisikitisha na kunitia haibu ukizingatia marafiki zangu wote walikua na wachumba.

Mbaya zaidi nisipo kuwepo walikua wakini zungumzia vibaya kwamba mimi ni domo zege (muoga wa madem) wapo waliodhani labda sidindi, kitu kilicho niuma mtima wangu. Jirani na nyumbani kulikua na bibi alie penda kunitania "mchumba wangu" bibi yule alizoeleka mpaka nyumbani hata mama alikua akimwita mkwewe.

Sikuzote yule bibi alikua akini tania "mke mwenzangu yuko wapi? Jibu langu lilikua "sina hawanitaki" sikumoja akaniambia kuwa anayo dawa itakayo nifanya nipendwe na mwanamke yeyote katika ulimwengu huu. Kwakua sio mtu wakuamini mambo ya kiganga nilikubali mdumoni tu lakini moyoni nikawa na kaidi. Basi tukapanga siku na muda wa kuifanya dawa hiyo lakini aliniambia kuwa dawahii sharti lake kubwa nikuifanya usiku mkubwa, ikabidi aniulize nitaweza? Nikasema nita iweza.

Kwakuwa nilikuwa nikikaa chumba cha uwani na nyumba yetu haikua na geti, basi haikua tabu kwa mimi kutoroka na kwenda kwa bibi anifanyie dawa. Ilikua ni usiku kweli hamna aliye tuona ni mapaka tu ndiyo yaliyo kua yakikatiza.

Basi akanivua nguo zote nikabaki kama nilivyo zaliwa mbele yangu kulikua na chungu chenye maji kwakua ni kiza sikuweza kuona kilichomo ndani yake, basi alianza na kuniogesha huku akiongea maneno nisiyo yajua maana yake.

Tulipo maliza tuliingia chumbani mwake nakuanza kuniambia mambo mengi yahusuyo mapenzi nakumbuka aliwahi niambia kuwa wanawake hawafuati pesa wala utanashati kwa mwanaume, ila ni shughuli kitandani jambo nililo cheka sana akaniambia atanipa dawa yakunifanya niwe kama simba kwa swala niwapo faragha na mwanamke jimbo lililo nivutia zaidi.

Basi akanikabidhi mzizi alio niambia natakiwa niwe nausaga kisha vumbi lipatikanalo niwe najipaka usoni nalingine niwe lalilamba kila nilalapo.

Haikupita mwezi nikang'oa mwanafunzi mwenzangu nakuanza kusuuza rungu kwamara yakwanza nikaonja raha ya dunia. Siku zilivyo zidi kwenda nikajiingiza kwenye uhusiano na mwanafunzi mwengine aliye nipita umri mpaka kidato, istoshe na mtaani kwetu nikawa namgonga mtoto wa jirani yetu, kidogo nikajiona mimi ndio kidume cha mbegu.

Maramoja School nikawa maarufu kila wasimamapo wasichana kumi (10) basi m-moja wao au wawili tayari nishampitia haliile ilinifanya niitwe "kicheche" mpaka wanafunzi wenzangu (vijoni kisomo) walini chukia. Sikumoja niliitwa ofisini na mwalimu ili anihoji kutokana na kashfa ya kukamatwa na barua ya mapenzi.

Nilipofika nilimkuta mwalimu kafura kwa hasira chaajabu nilipo tulipo anza mahojiano taratibu mwalimu alianza kubadilika nakufurahishwa na mimi kwa jinsi nilivyo kua hodari wa kujenga hoja na kuzitetea.

Ikabidi tuvunje kesi mpaka kesho yake, ila alinisisi tiza niende kwake ili afanye taratibu ya kulisovu tatizo lile, kwakuonyesha amedhamiria alizama katika mkoba wake nakutoa noti ya 2000 kama nauli ya kwenda kwake.

ITAENDELEA
 
Msimu wa hadithi ushaanza! Ananikumbusha mambo y
a mjeda CHAI CHUNGU! Ahahahahahaaaaaa utamu unakata, utamu unakuja lol! Hakuna cha kisa cha Kweli wala nn!
 
Last edited by a moderator:
Huu mtindo mpya wa uandishi hapa jamvin sio mzuri.
 
Shigongo atakupa uraji ukimpelekea
 
hahah!! Ahsante umenichekesha Mungu akupe umri mrefu inshallah..
 
Kitoabu
hii hadithi part two,ipo wapi,Au mpaka sasa bado unaiandikaga,Tuuzie kitabu basi.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee, mkuu huo mzizi vipi, nina shida nao aisee nasikia unaponya pia kichomi!!!.
pole, ngoja tuendelee kusubiri prayer points.

Njoo nikupe ha ha ha
I miss u much
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom