Dawa aliyo nipa bibi inahatarisha uhai wangu

Dawa aliyo nipa bibi inahatarisha uhai wangu

Hahahahaaaaa... consultant kiwatengu asione hapa... Many thanks best yangu.... Nafikiri inabidi tufanye test kwanza mimi na wewe ili ujue dawa kiasi gani napaswa kutumia, to huenda ukajikuta unanipa neutralizer... hahahahahahaaaa

ha ha a ha mbavu zangu ina maana huniamin my friend...sikupi ya neutralizer bwana
wewe sema unataka unitest ujue leo pitia kijiweni tupange kiwatengu hawezi kuona hapa kwa maana akiona atampelekea mume wangu taarifa
 
Last edited by a moderator:
Salamu wana bodi
natumaini ni wazima bukheir na munaendelea kulisaka tonge ili mkono
uwende kinywani na watoto waendelee kukimbilia chooni. Ama baada
yasalamu nawaomba kila mmoja wenu aniombee kutokana na imani yake ili
niondokane na dhahama hii. Nakumbuka ilikua 1992 kipindi ambacho naingia
katika barehe changa (16-18) kwakweli nilikumbana na changamoto za
kukataliwa na wasichana. Kila niliye mtongoza alinikataa, wengine kwa
hoja sikua na mvuto wengine waliniambia nimekaa kiboya boya
(mshamba-mshamba) hali iliyo nisikitisha na kunitia haibu ukizingatia
marafiki zangu wote walikua na wachumba.

Mbaya zaidi nisipo kuwepo walikua wakini zungumzia vibaya kwamba mimi
ni domo zege (muoga wa madem) wapo waliodhani labda sidindi, kitu
kilicho niuma mtima wangu. Jirani na nyumbani kulikua na bibi alie penda
kunitania "mchumba wangu" bibi yule alizoeleka mpaka nyumbani hata mama
alikua akimwita mkwewe.

Sikuzote yule bibi alikua akini tania "mke mwenzangu yuko wapi? Jibu
langu lilikua "sina hawanitaki" sikumoja akaniambia kuwa anayo dawa
itakayo nifanya nipendwe na mwanamke yeyote katika ulimwengu huu. Kwakua
sio mtu wakuamini mambo ya kiganga nilikubali mdumoni tu lakini moyoni
nikawa na kaidi. Basi tukapanga siku na muda wa kuifanya dawa hiyo
lakini aliniambia kuwa dawahii sharti lake kubwa nikuifanya usiku
mkubwa, ikabidi aniulize nitaweza? Nikasema nita iweza.

Kwakuwa nilikuwa nikikaa chumba cha uwani na nyumba yetu haikua na
geti, basi haikua tabu kwa mimi kutoroka na kwenda kwa bibi anifanyie
dawa. Ilikua ni usiku kweli hamna aliye tuona ni mapaka tu ndiyo yaliyo
kua yakikatiza.

Basi akanivua nguo zote nikabaki kama nilivyo zaliwa mbele yangu kulikua
na chungu chenye maji kwakua ni kiza sikuweza kuona kilichomo ndani
yake, basi alianza na kuniogesha huku akiongea maneno nisiyo yajua maana
yake.

Tulipo maliza tuliingia chumbani mwake nakuanza kuniambia mambo mengi
yahusuyo mapenzi nakumbuka aliwahi niambia kuwa wanawake hawafuati pesa
wala utanashati kwa mwanaume, ila ni shughuli kitandani jambo nililo
cheka sana akaniambia atanipa dawa yakunifanya niwe kama simba kwa swala
niwapo faragha na mwanamke jimbo lililo nivutia zaidi.

Basi akanikabidhi mzizi alio niambia natakiwa niwe nausaga kisha vumbi
lipatikanalo niwe najipaka usoni nalingine niwe lalilamba kila nilalapo.


Haikupita mwezi nikang'oa mwanafunzi mwenzangu nakuanza kusuuza rungu
kwamara yakwanza nikaonja raha ya dunia. Siku zilivyo zidi kwenda
nikajiingiza kwenye uhusiano na mwanafunzi mwengine aliye nipita umri
mpaka kidato, istoshe na mtaani kwetu nikawa namgonga mtoto wa jirani
yetu, kidogo nikajiona mimi ndio kidume cha mbegu.

Maramoja School nikawa maarufu kila wasimamapo wasichana kumi (10) basi
m-moja wao au wawili tayari nishampitia haliile ilinifanya niitwe
"kicheche" mpaka wanafunzi wenzangu (vijoni kisomo) walini chukia.
Sikumoja niliitwa ofisini na mwalimu ili anihoji kutokana na kashfa ya
kukamatwa na barua ya mapenzi.

Nilipofika nilimkuta mwalimu kafura kwa hasira chaajabu nilipo tulipo
anza mahojiano taratibu mwalimu alianza kubadilika nakufurahishwa na
mimi kwa jinsi nilivyo kua hodari wa kujenga hoja na kuzitetea.

Ikabidi tuvunje kesi mpaka kesho yake, ila alinisisi tiza niende kwake
ili afanye taratibu ya kulisovu tatizo lile, kwakuonyesha amedhamiria
alizama katika mkoba wake nakutoa noti ya 2000 kama nauli ya kwenda
kwake.

ITAENDELEA

mkuu sasa si utabaka!!! hii dawa nouma
 
Hii akili ya kusubirishana sijui mnaitoa wapi...
Haya ngoja tule ganzi
 
Hahahahaaaa.. hata daktari jamani si lazima akupime aone tatizo lilivyo ndo atoe dawa? Nashukuru umekubali ombi langu... I can't wait meeting you. Shuuuuuu!!!!!!!
ha ha a ha mbavu zangu ina maana huniamin my friend...sikupi ya neutralizer bwana
wewe sema unataka unitest ujue leo pitia kijiweni tupange kiwatengu hawezi kuona hapa kwa maana akiona atampelekea mume wangu taarifa
 
Thanks my dear ICHANA, I am missing you BIG!!!
Nina kiwi sana dear, nipege tu!!!!!


Hahahahahaaa charminglady acha hizo bhana!!!!
Uzuri mtu ukishindwa kupiga sound, ushindwe hata kudowea (kula) kwa macho? Loooo!!!!
Nakupendaga pendaga ujue, sema tu naona aibu kukuambia!!! Ngoja siku nikakunywee Kaizer au lite tatu afu nije!!! usikilizie huo mtongozo.... ukibahatika kupona nitaomba msaada kwa consultant wa mitongozo ndg kiwatengu

Mkuu Tized mie huwa nakubilivu acha tu!
 
Last edited by a moderator:
juzi tu ulikuwa na div 5 leo unasema mwaka 1992,
wakati huo mwaka ulikua kwenye suruali ya babayako ila nakupongeza hadith ni nzuri
 
Niunganishe na huyo bibi nataka nimpate billionea bakhresa wa azam
 
hujasema jinsia ya huyo mwalimu. asijekuwa mwanaume akakkufumua marinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom