Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,566
- 2,944
Itachukua muda mrefu sana Mtanzania kuwa katika utimamu.ZILIPENDWA HUYU. HATAWASAHAU MOSHI MJINI 2015 WALIVYOKULA HELA ZAKE NA UBUNGE ASIPATE.
MWIZI WA KIBORILONI ALIIBIWA MCHANA KWEUPE NA WAPIGA KURA. KULA KWA DAVIE MOSHA ILA KURA KWA CHADEMA.
Kila mtu ana madhaifu yake lakini hii sio sababu ya sisi kutokuona jema moja afanyalo mtu
Huyu ni mtu wa mfano;
1. Najua pesa anazowalelea watoto baadhi au hata zote zatoka kwa wafadhili, je hili si jambojema kiwasaidia yatima?
2. Hivi watoto 600 ambao wangekuwa machokoraa na kuwa vibaka mtaani? Huoni kuwa amekuwa msaada wa jamii kupunguza vibaka na malaya?
3. Kwanini mabaya yake yatuzuie kuona mema?
###Tutazame yaliyomema machoni pa watu###