Davis Mosha afuturu na watoto yatima

ZILIPENDWA HUYU. HATAWASAHAU MOSHI MJINI 2015 WALIVYOKULA HELA ZAKE NA UBUNGE ASIPATE.

MWIZI WA KIBORILONI ALIIBIWA MCHANA KWEUPE NA WAPIGA KURA. KULA KWA DAVIE MOSHA ILA KURA KWA CHADEMA.
Itachukua muda mrefu sana Mtanzania kuwa katika utimamu.
Kila mtu ana madhaifu yake lakini hii sio sababu ya sisi kutokuona jema moja afanyalo mtu

Huyu ni mtu wa mfano;
1. Najua pesa anazowalelea watoto baadhi au hata zote zatoka kwa wafadhili, je hili si jambojema kiwasaidia yatima?

2. Hivi watoto 600 ambao wangekuwa machokoraa na kuwa vibaka mtaani? Huoni kuwa amekuwa msaada wa jamii kupunguza vibaka na malaya?

3. Kwanini mabaya yake yatuzuie kuona mema?

###Tutazame yaliyomema machoni pa watu###
 
Inasikitisha kwa wanaojiita waislam wanashindwa kufuata kanuni hasa ya kufuturisha, ambayo ni kumlisha yule asiejiweza/mwenye uhitaji. Unakuta wasanii wanasema wanafuturisha lakini wanajaa mashoga na wakata viuno ilhali kuna watoto yatima wengi wangeridhika na robo ya chakula wanacholishana wao kwa wao wenye uwezo.
Mungu amzidishie Bw. Mosha kwa alichofanya.
Jamaa kumbe analea jamii kubwa sana
 
Naona wote waliokuwa wamejificha shimoni kurefu kuliko kwa chatu wanafufuka taratibu. Huyu ni team JK na Ritz damudanu.
 
Muzee ya kobil, muzee ya Delina, Muzee ya nche nkapa na nche JK , muzee ya beaural de Change museee yetu ya moshi
 
Hawa watu tulishawasahau kabisa wameshaanza kurudi, bado masamaki ,manji,hata ktk mabendi wameshaanza wapi muzee ya....
 
Inasikitisha kwa wanaojiita waislam wanashindwa kufuata kanuni hasa ya kufuturisha, ambayo ni kumlisha yule asiejiweza/mwenye uhitaji.

Unakuta wasanii wanasema wanafuturisha lakini wanajaa mashoga na wakata viuno ilhali kuna watoto yatima wengi wangeridhika na robo ya chakula wanacholishana wao kwa wao wenye uwezo.

Mungu amzidishie Bw. Mosha kwa alichofanya.
Wamegeuza kuwa fashion. Mwenyezi Mungu atawalipia kulingana na nia zao.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom