born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
David luiz Jana hakuwa fit ndo maana hata hakuanza first eleven
Kuumia kwa Tiago Silva kumesababisha hayo yote wala suarez hasinge funga yale magoli mawili..Tiago Silva akiwepo ana muelekeza Luiz...na ni wazi Luiz alisababisha magoli yale yote.
.Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.
Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
.
wasiwasi wangu ulianza lini kufuatilia mpira, jambo la kwanza, afu la pili unamchukuliaje suarez, la tatu unajua dribleling za waamerka ya kusin au unsikia tu juu ya uwezo wao, we bado mchanga sana katika fooball, ngoja nkufahamishe beki anapimwa kwa idadi ya tackling na kuzuia, na si kuaziliwa ukitaka hivyo basi hamna beki mzuri dunian, unasahau kwamba mafowadi wote na maatacking mid fielder yaani kina messi, neymar, ronaldo, eden hazard, suarez, aguero, silva, roben, tevez n.k wote wanjifunza usiku na mchana jinsi ya kuwanyanyasa mabeki, hilo ungelijua usingezungumza hayo hapo juu.
montelo
Mwisho nikutajie mabeki mahili duniani waliowahi kudhalilishwa vibaya uwanjani zaiod ya mara 10 toka niwafaham
fernando hiero, ivan campo, michael salgado, roberto carlos, ramos, haguera, MARCELO cannavaro hasa akiwa madrid,(real madrid)
palister, rio ferdinand, david may, vidic, evra,denis irwin (manchester utd)
puyo, pique, alves, rezigger, de bour, van bronquost (barca)
cordoba, taribo west, , marco matelazi (inter)
morieo, zambrotta, montelo, chielin (juv)
alesandro nester, paul madin, ibrahim ba, cafu (ac milan)
fernando cauto, (club lazio 1999-2003), abel xavel ( wote ureno)
ton adams, martin kewn, sol camble, winter bunt, dickson, ashel cole (the best deffenders for asernal that never replaced until now)
samwel kuffor, lucio, lother matheus, bixente rizarazu, sagnol (bayern munich)
celestine babayaro, lesux, frank lebouf, mark desaily, john terry, cahil, david luis, alex, ivannovic (chelsea)
vicent company, zabaleta, demichellis (man city) tena huyo kompany anadaiwa matobo kibao na lionel messi, haya ya juzi hata wewe tayari unaangalia mpira. list ni ndefu.
Kati ya hao, WALIOBORA KAISA NDIO WALIOWAHI ADHIRIWA KWA KUDHALILISHWA KABISA UWANJANI, nao ni kama ifuatavyo
MWISHO, KWA SASA NENDA ATANDAONI UKATAFUTE THE BEST DEFENE AND TACKILNG WITH TREMENDOUS TECHNIQUES, MKUU, DAVID LOUIZ NDIYE MKALI NA MWENZIE.
- jap stam alidhalilishawa vibaya sana na fernando redondo semi final r.madrid na man utd 2000, alipigwa chenga asijue ageukie wapi na mpira umekwenda wapi, review in football clips
- george hagi mromania huyu akiwa club ya galatasaray alikuwa kiboko ya roberto carlos, hata del bosco akwa anampumzisha, timu yangu mimi ni madrid lakin, nilikuwa sina raha jamaa akicheza, kawahi kudalilishwa akataka pigana na akala nyekundu, yaani kwa utaalam wa chenga si ukorofi
- huyo huyo hagi alikuwa kiboka ya paul maldin
- tony adams vibaya mno na andy cole na giggs
- cannavaro ndo usiseme,
- terry hata kuna kipind mashabiki uchwara walidai atoke chelsea hafai tena
NA KATI YA WANAODHALILISHWA HOVYO KWA SASA INGAWA NI WAZURI SANA, NI MARCELO, KOMPANY,DANTE NA RAMOS.
Hivi hujawahi kujiuliza kwa nini tim kubwa haziwaachi hawa watu.
ingawa mpira ni mchezo ila una sayansi nhdani yake, si klia mwenye akili nyepesi aweza kujadli.
mkuu nafrahi kwamba hujajibu hoja ila umeamua kukomaa, kumbuka katrika soka mtu yeyote yupo huru kumkubali au kumkataa mchezaji ama kocha yeyote, lakini wakati anamponda mtu huyo asijifanye anachambua kitaalamu au anafanya upembuzi yakinifu huku hana data za kutosha.Mkuu FATHER OF REALITY haya mkuu wewe uliyeanza kuangalia mpira siku nyingi ebu pitia majarida ya ulaya ubwabwaje lakini mwisho wa siku David Luiz hana thamani ya 50 million,si beki mzuri,chelsea walifanya biashara nzuri full stop.
Paris Saint-Germain 1-3 Barcelona: Suarez at the double and Neymar on target as supreme Spaniards ease to victory... but Laurent Blanc's side given glimmer of hope with late goal | Daily Mail Online
Mkuu ni kweli lkn bado tulikua tunahitaji huduma Yake pia ingawa mpunga pia ulikua ni muhimu?
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.
Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.
Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.