David Luiz ana thamani ya 50 millioni

David Luiz ana thamani ya 50 millioni

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,495
Reaction score
38,331
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.

Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.

Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.

Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ila simpondi sababu barcelona tulimtaka sana ila tulishindwa kumsajili sababu psg walituzid kete
 
Jana hakufanya vizuri ila mechi na Chelsea alifanya vizuri sana. Luiz ni mzuri akicheza kama defensive midfielder.
 
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.

Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.

Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.

Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.
Kumbuka alikutana na mshambuliaji mwenye thamani ya £75Ml.
 
Jana hakuwa vizuri kuna mambo ya ajabu anafanyaga ila jana hakufanya hata moja
 
suarez ana thamani ya sh ngapi?
 
Mkuu +255 kumbuka hii si mara yake ya kwanza kufanya blander unakumbuka kombe la dunia alifanywa nini na Germany ?.

Kumbuka alikutana na mshambuliaji mwenye thamani ya £75Ml.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama luiz ni mbaya hvyo, kila beki anazidiwa akili akikutana na mchezaji mjanja zaidi yake.
 
Wape ukweli mkuu, mbona walimfurahia kwa kuwatwanga Chelsea!!! Luiz ni majeruhi, jana kaingia ilimradi tuu.
 
Hizi vitu kwenye mpira ni kawaida, mabeki kibao tu yashawakuta wakafanya makosa ya ajabu hata zaidi, kina Ramos, Hummels, Kompany, Pique, Varane, Terry n.k.

Hata hao strikers wenyewe kuna siku wanaotewa, wanapotezwa kabisa. Messi ashamilikiwa mara kibao akapotea, Varane ashamficha mechi mfululizo.

Mpira mchezo wa makosa.
 
Wape ukweli mkuu, mbona walimfurahia kwa kuwatwanga Chelsea!!! Luiz ni majeruhi, jana kaingia ilimradi tuu.

Hata hao mabeki wakubwa duniani lazima wamekutana na wajanja zaidi yao ndo maana wanazidi kuwa bora zaidi.
 
ukimweka luiz kama central defender lazima uchezee kichapo tu hata kama mshambuliaji ni kilaza,defensive error kwake ni za kugusa tu..ndo mana mourinho alimweka kuwa deffensive midifld ila ujio wa Matic ndo ulifanya auzwe....!!!!!
 
Jana hakufanya vizuri ila mechi na Chelsea alifanya vizuri sana. Luiz ni mzuri akicheza kama defensive midfielder.
Kuumia kwa Tiago Silva kumesababisha hayo yote wala suarez hasinge funga yale magoli mawili..Tiago Silva akiwepo ana muelekeza Luiz...na ni wazi Luiz alisababisha magoli yale yote.
 
Heshima wanajamvi na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu.

Jana nilikuwa natazama mechi baina ya Barcelona na PSG kuna jambo moja lilinishangaza sana ni thamani ya David Luiz na ubora wake haviendani kabisa.Mchezaji baki mwenye thamani ya pound 50 million sitarajii afanye makosa ya kipuuzi kiasi kile.Jana Suarez kamgeuza kama chapati kasababisha magoli mawili ya ubwerere.

Ni wazi Chelsea walifanya biashara nzuri sana David Luiz hana thamani ya 50 million sana sana bei yake ilitakiwa isizidi 6 million.

Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.

Namkubali sana morinyo kwa jicho lake la kuuza vilaza kabla hawajajulikana ukilaza wao

Ila ananichosha kwe sabu nyingi,maana huwa sioni kama anazifanya kiufundi Bali kihisia

BT still h z the hap1 in epl
 
Wape ukweli mkuu, mbona walimfurahia kwa kuwatwanga Chelsea!!! Luiz ni majeruhi, jana kaingia ilimradi tuu.

Kuingia ilimradi tuu.ndio mini mkuu?
Sema Jana naye ilikua zamu yake!
 
Jana hakuwa vizuri kuna mambo ya ajabu anafanyaga ila jana hakufanya hata moja

Hajawahi kuwa beki mzuri zaidi ya kufunga magoli ya hapa na pale ambao mabeki wengine huwa wanafunga pia.

Wakati Chelsea wanampiga bei nilisema ni dili nzuri kwa Chelsea, lakini baadhi ya mashabiki wa timu hiyo wakasema ilikuwa ni mistake kubwa kumpiga bei.

cc. Mentor, Ntuzu na wengine.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama luiz ni mbaya hvyo, kila beki anazidiwa akili akikutana na mchezaji mjanja zaidi yake.

Kwa yeyote aliye angalia match ya jana atakubali kabisa Luiz alionesha udhaifu mkubwa na Morinho alikuw sahahi kumuuza
 
Back
Top Bottom