tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
ni ujasiri katika kuamua au kutetea jambo lenye manufaa kwa walio wengi tena jambo lenye hatarihiyo tuzo inatolewa kwa vigezo vipi?
yaani ili mtu atunukiwe anatakiwa awe na sifa zipi?
hiyo tuzo inatolewa kwa vigezo vipi?
yaani ili mtu atunukiwe anatakiwa awe na sifa zipi?
mhhh !!!! Tena uko siko mkuuMi nadhani tuanze kwa kuwaadhibu hawa viongozi, haiwezekani mtu ni Raisi anakaa nje ya nchi karibia mwezi mzima. Yaani ndani ya siku 30 yeye 3 ndo kakaa Tanzania.
Hawa viongozi hata risasi wakipigwa itakuwa fundisho
kwani upendi david kafulila aipate? Mbona malala wa pakistani bint wa miaka 17 aliipata bahada ya kuonyesha ujasiri,hii hata wewe unaweza kuipata mkuuHii tuzo unaijua au unaisikia?
hiyo tuzo inatolewa kwa vigezo vipi?
yaani ili mtu atunukiwe anatakiwa awe na sifa zipi?
chadema hapa povu litawatoka mmh..!! Jaman sio kila zuri mfanye nyie tu.
Funny!
mi nilimpuuzia tu uyounajitia unajua kila kitu, kumbe na ww mbwe.ha tu
hivi wewe mtoto unajitambua au unaongeleshwa? kaangalie matokeo yenu ya drs vii yametoka...bila shaka utakuwa umepata 0!
nyie mna yenuuuambavyo hujitambui eti mtu darasa la saba anapata 0. Hivi unajua mfumo wa matokeo ya darasa la saba unavyokuwa?? Akiri ndogo kweli kweli.