Ndugu zangu tukiwa kwenye kashi kashi na suala la escrow, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) anategemea kufunga ndoa kesho huko Kigoma. Namtakia maandalizi mema kati hiyo siku yake kubwa ya Kihistoria katika Maisha yake.
=====================
=====================
![]()
Bwana Harusi David Kafulila wa pili kushoto akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe wa kwanza kushoto na marafiki zake David Silinde wa kwanza kulia na Zitto Kabwe wa pili kulia. Mia
23, 2014
![]()
Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
![]()
Mhe David Kafulila akiwa kanisani na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
![]()
Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa wazazi wa bwana harusi
: