East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Kwanini wanune hadi wamkamate? Si kaongea habari ambayo aliisema pia Bungeni? Tena wengi sana walisema kuwa, wataona aibu kuwaalika wananchi kuchangia ujenzi wa Nchi yao kama Serikali isipochukua hatua kwa wezi wa rasilimali zetu...
Serikali ya CCM nadhani inakimbiza kivuli chake...
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Huko ndiko watamuwekea polonium. Wanatafuta njia ya kummaliza.
Chanzo Kingine: Habari Leo (gazeti la CCM)
wanasiasa wote sasa wanawakataza wapiga kura wao kutochangia maabara kwa sababu serikali ina fedha nyingi za kuchezea. kukamatwa kwa Kafulila kunatokana na msimamo wake thabiti kusimamia sakata la ESCROW. kwamba amekamatwa kwa 7bu ya kuwazuia raia wasichangie maabara, ni kisingizio cha kuotea. ukweli ni kwamba amekamatwa kwa sababu ya kushupalia sana hoja ya ESCROW na kuiumbua serikali ya MAJIZI. huu ndio ukweli na usahihi wa kukamatwa kwa Dr Kafulila.
Mkuu, kwa sirikali hii huwezi ckia wa2 kama Chenge wanahojiwa hata dk 1... Me nashangaa sana ktk hili.
Dah! maskini Tanzania nchi ya wajinga,inayoongozwa na wajinga!!!! kwani maendelo yanachangiwa??! Hawa wananchi walio maskini wachangie mara ngapi si mchango wa kodi unatosha kwanini walazimishwe michango mengine....
Nchi wanazochinjana chanzo chake huwaga ni vitu vya aina hii. And we are not different.
........ Waha Wabishi Wewe Na Wana Akili Sana Ya Kufikiri Siyo Kama Hao Wajinga Unaowasema, Wao Hata Wakiambiwa Wachangie Kuwatoa Kafara Watoto Wao Wanafanya Tu, Hawafikiri Hata Kidogo. Kwa Taarifa Yako Kigoma Kuna Shule Nyingi Na Nzuri, Bila Kuchangishana Zimejengwa. Halafu Hiyo Vumbi Unayosema Hata Dsm Ipo, Kama Ni Funza Hata Wewe Unazo.! Ukioza Zinatoka Tu. Subiri Utaona
Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.
Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?
Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la
afanywe nini??? Maana ccm kwa uuaji hamko nyuma, wakiongozwa na mambumbumbu kama wewe, then sijajua kwa sababu zipi za msingi wewe kama mtanzania mwenye uchungu na taifa lako unamchukia kafulila, si bure utakuwa una jeraha kwenye inshu aliyo iibua kafulila si bure.
dah,hi avatar yako yani kha!!!!
Hv mkuu inamaana ulikosa avatar?
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.
Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?
Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la
na nyie ni vilaza tu! kwani amri ya rais ndiyo inasema mishahara ya wafanyakazi ikatwe tu? mbona yeye rais anakula na kulala bure hajasamehe mshahara wake ili ukajenge maabara?Sisi tumekatwa kwa nguvu kwenye mishahara tukitishwa kuachishwa kazi eti kwa sababu ni "Amri ya Rais" sawa lakini tumehamasishana kila mmoja kushawishi angalau watu 50 wasiwachague majambazi CCM. Mimi hadi leo nimefikisha 400. Ntawapa mshindo nyuma baada ya Jumapili hii kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
CCM - Janga la Taifa.