Ashughulikiwe ipasavyo
Mtu mmoja anaangamiza mamia ili apate umaarufu.
Wewe utakuwa UKAWA damu
CCM kweli mwisho umewadia tayari,''
JIANDAENI KISAIOKOLOJIA
....msichange mchango wowowte wa maendeleo chini ya serikali ya ccm,halafu mbona dar es salaam watu hawachangishwi?.Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
UKAWA ndio nini?
Tatizo baadhi ya watendaji huchukulia hii michango kama lazima ikiwemo kukamata mali za walioshindwa kuchangia kukamata watu nk.Jamii nyingine ni masikini sana kiasi watu kujificha maporini ili wasikamatwe nyie mnalionaje hili? Nilipokuwa kadogo kulikuwa na michango aina hii knjaro na nilishuhudia wazee wakijifungia ndani waliposhindwa kuchangia au familia kukosa mwakilishi wa kujitolea nguvu kazi kutengeneza barabara.tuliambiwa tuingize kila kitu ndani majembe, mashoka ,kahawa hata mahindi huwezi anika mana mgambo wa kijiji wanapita nakutaifisha .Haya yaliwezekani miaka hiyo kabla ya democrasia .Jiulize kodi ya kichwa ilishindikanaje?
huu uharo sijauelewa kamwe! Kwani kigoma wanachangia kiasi gani tofauti na mikoa mingine? Unafahamu aina za kodi kweli wewe?
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.
Inauma sana Pesa za tz nzima chenge kapeleka Kwa 116m
Kimsingi,serikali ina wajibu wa kujenga miundombinu mbalimbali kwa wananchi. Kisheria,mwananchi hana wajibu wa kujenga miundombinu kwa njia ya kuchanga. Sababu ni kuwa mwananchi si mkusanya kodi,mtunza fedha na mpanga mipango.
Asante Mkuu
Mkuu, kwa Kafulila imekuwa kosa la jinai na hana adabu lkn kwa wezi wa escrow acount ni halali na wana adabu... Ushauri wangu kwako, ni vyema kuwa binadamu mwenye akili timamu na vnginevyo. Hata hivyo mimi naamini we ni mzima kiakili. Imeandikwa kweli yako itakuweka huru daima. 2badilike...
UKAWA ndio nini?
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Namshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , ingekuwa noma sana .Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma