Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,272
Atakuwa ameingia kwenye shamba la ushirika la chenge na muongoSema Tumbili kakamatwa kwa kuvamia mahindi yaliyopo shambani
Ni kweli hakuna kinga,Huko hakuna kinga Bunge
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.
Mbona Hawajamkamata Singa singa na badala yake wamkamate Kafulila kama kweli wana nia ya dhati kuhakikisha watu wanaokwamisha maendeleo ya nchi hii wakamatwe na wahojiwe. Polisi wetu hawa akili zao zimeenda likizo tena zimepumzika kwa kuwekwa kwenye kopo kwa kupokea maelekezo ambayo hayana msingi. Unapomkamata Mbunge anayetetea maendeleo ya watanzania tena kwa kusimama kidete kudai pesa za watanzania zirudishwe.
Kati ya singasinga na kafulila nani anayekwamisha serikali ikashindwa kujenga maabara
shikamoo dadacopy that
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Michango ni jambo lingine na Escrow ni habari ingine acha akamatwe tuu amegeuza huo mtaji wa kisiasa