Politics is the game of capitalizing one your oponents mistakes, kwa kutumia makosa yao, wewe unafunga magoli yako.Wako wanasiasa ma oportunists wao wanatafuta opportunities, akiona huku hakuna oportunities, anarukia kule, kama alivyosema Mzee Mwanakijiji mahali, usione kipepeo anatanga tanga kwenye maua ukadhani anapenda maua, kumbe anachofuata huko ni asali.Kwa kijana huyu, NCCR ndio mahali pekee penye oportunity anayoitafuta, CCM asingeipata, japo naamini Chadema alikuwa anasimama better chances kuliko huko alikotua.Kwa Chadema, egemeo la kijana huyu lilikuwa Zitto na ni kwa mtandao wa Zitto, angelitwa hilo jimbo huko Kigoma kiulaini kama kumsukuma mlevi. Naamini Zitto angekuwepo, kijana asingehama Chadema.NCCR Kigoma ina nguvu za mtandao wa Sam Ruhuza, hivyo kijana anahama mtandao wa Zitto kujiunga na wa Sam, swali ni jee, ana uwezo wa mass mobilization ya kujiundia mtandao wake utakaompa merits za kusimama nae 2010 dhidi ya CCM? au anategemea atajimegea pande lake Chadema kwenda kuiimarisha NCCR?.Mpeni nafasi aprove his guts.Kama anasoma humu ni muhimu akizingatiaKafulila don't talk dirty kuhusu Chadema, concetrate na hapo ulipo ili uweze kusonga mbele kwa matumaini ya kupanda juu bila kuitelekeza ngazi uliyoitumia kupandia, ili utakapowadia wakati wa kushuka, utaitumia ngazi hiyo hiyo na huko chini utawakuta wale wale waliokupandisha mpaka kupokelewa na James Mbatia mwenyewe.