Nitajie vyama vingine vya upinzani vyenye wadau wengi ambacho sio pandikizi la siemnaona kwa mbalii Mamvi na Kingunge wanachanga karata zao. Lengo kuuwa cuf, nccr, act na kutengeneza chama kimoja cha upinzani chenye nguvu. Taadhali wajue tu kwamba CCM ni chama dola, ni zaidi ya chama cha siasa. Kukiwa na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kazi ni rahisi sana kwa CCM ku deal nacho.
Hili ndio kila siku huwa nasubiri walifanyeMimi kama ningekuwa mshauri wa Chadema ningemshauri Mbowe his time it's time up. Ameifanyia Chadema mengi na makubwa but amefikia optimum take. Kama night solution, it is a saturated solution, it can take no more than it can.
Chama makini kinatakiwa kuanza jana kujipanga kwa kesho, kwa uchaguzi wa 2020 hata yule jamaa yangu atakuwa ni spent force unless Chadema imeridhika kuendelea kuwa msindikizaji tuu na sio mshindani.
Paskali
Tena nadhani amerudi nyumbani kwake alikuwa kwa jirani.Ukitegemea hawa watu walete mabadiliko katika hii nchi, sahau mkuu, watu wanazunguka tu vyumbani.
There is no permanat friend or enemy in politics kijana..think beyond your noseSisimizi karudi Chadema!!
Hivi mke wake nae si mbunge wa viti maalumu huko CDM?Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi
UKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!
Mbowe mtoto wa mjini kamfanyia udukuzi mbatia............
Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.
Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?
Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?hahahaha lengo la chadema ni kuviua CUF na NCCR
Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?
Mikunduzi yenu akili matope.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Hili la uanachama siyo la muungano! (Rejea kumbukumbu za muungano).
Akili na hoja kuu ya chadema ni matusi,hivi kama wewe mmeo atakuwa anakupiga mara kwa mara. huwezi kutoa hoja hadi utukane?Akili za shisha hizi, mbona Juma duni Haji karudi Cuf? Mpendazoebna nusu mkia ccm? Je Afande sele? Wapi Habib Mchange?
Mikunduzi yenu akili matope.
Mbunge wa viti maaulu CHADEMAMkewe ndio nani
Chezea nguvu ya naniliu wewe.. Asipohama anaweza kupewa talaka ukizingatia posho hazipo tena.. HahahahahahaSisimizi karudi Chadema!!
Hata kafulila ni mtoto wa shetani alie fukuzwa chama cha kanda ya kaskaziniMkuu mbona kama umekereka sana? ulitaka ahamie kile chama chenye ushirika na 'yule mwovu' aliyefukuzwa paradiso au?
I know bae..ila utani unaochoma,si wanijua tena habari hizo huwa sitaki kuzisikia?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Just kidding hny..
Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 ccm walimsimamisha Benjamini Mkapa, Chadema waliunga mkono mgombea wa CUF wakati huo alikua huyo jamaa yako hapo kwenye bold, NCCR-Mageuzi walimsimamisha Dr. Mvungi, now kwenye kampeni zile mgombea wa ccm alitamka kua maprofesa wengine ni maprofesa uchwara so sikumwelewa ana maana gani though prefesa alikua anashindana nae alikua mmoja tu, sijui ndio alikua anamtaja yeye au vipi? Kwa mbaaaali naanza kumuelewa Benja. Halafu sorry, one more thing; sijui na wewe nikuweke kwenye kundi hilo hilo!?Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.
thank you very much in makinda voiceThere is no permanat friend or enemy in politics kijana..think beyond your nose