Hawa watu wanataka nini lakini?
Wanalazimisha mno vita v ya wenyewe kwa wenyeweHalafu wanahubiri Maridhiano.
Hivi huko CCM na Serikalini kuna wenye akili kweli.?
Mbona Nchi inaendeshwa kama ghetto la masela!?
Kumbuka ulivyotuaminisha kijana wa IFM aliyekatwa kichwa, ngoja tusubiri taarifa ya genuine person yeyote ili tukemee kama itakuwa ni serikali. Maana huwa una mihemko sana!Hili ni onyo la awali kwa mamlaka za Tanzania.
Kwa ilipofikia Chadema Kwa sasa kitendo chochote cha kuua viongozi wake hakitanyamaziwa na haraka sana kisasi kitalipwa pakubwa
Jumbe, Mtu Mwema na Mtulivu, ambaye ni msaidizi wa Lissu ametekwa n.a. maofisa usalama Kwa lengo la kumuua, baada ya kutoa siri ya Lissu kulishwa sumu gerezani, hili jambo litavuruga Armani ya Nchi
Soma Pia: Tetesi: - David Djumbe Msaidizi Wa Tundu Lissu Ametekwa
Mganga akae na kichwa na maini wiki 2 na visioze na wewe kwa upumbavu wako ukaamini!Kumbuka ulivyotuaminisha kijana wa IFM aliyekatwa kichwa, ngoja tusubiri taarifa ya genuine person yeyote ili tukemee kama itakuwa ni serikali. Maana huwa una mihemko sana!
Vita gani bwege wewe,vita itoke wapi na kwasababu gani?Wanalazimisha mno vita v ya wenyewe kwa wenyewe
Ninakubaliana na wewe, Tanzania kamwe hatuwezi kuwa na vita kati yetu kwa sababu ya mtu duni, mwovu kabisa kama Samia Suluhu Hassan.Vita gani bwege wewe,vita itoke wapi na kwasababu gani?
Unaijua vita wewe au unaandika ushuzi tu hapa
πππππππNaumia Sana.. Kwa hali hii ni ngumu sana kumuachia TAL
Diaspora niliandika hapa kuwa waombe audience na Trump aingilie Kati ikiwezekana kama alivyofanya Venezuela! Lazimamkujaribu kila linalowezekanaNaumia Sana.. Kwa hali hii ni ngumu sana kumuachia TAL
Mawazo na majibu mithili ya haya tuliyaona na kuyasikia kuelekea 29/10/2025.Vita gani bwege wewe,vita itoke wapi na kwasababu gani?
Unaijua vita wewe au unaandika ushuzi tu hapa
Watekaji na washirika wao utawajua kwa kauli zaoVita gani bwege wewe,vita itoke wapi na kwasababu gani?
Unaijua vita wewe au unaandika ushuzi tu hapa