David Datuna anunua ndizi kwa gharama kubwa zaidi duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Msaani mzaliwa wa eneo la Georgia Marekani, David Datuna amekula ndizi iliyotumika katika kazi ya sanaa ya Maurizo Cattelan ambayo iliuzwa kwa kitita cha dola $120,000 sawa na Tshs275,997,147.33

Sanaa hiyo kwa jina 'Comedian' ilikuwa katika maonyesho ya Sanaa ya Basel mjini Miami Marekani, ambayo ndio sehemu yenye maonyesho ya sanaa zenye hadhi ya juu duniani.

Imewekwa ndizi nyengine hivyo basi hakuna hatua itakayochukuliwa dhidi ya Datuna – ambaye alisema kwamba hatua ya kula ndizi hiyo inaharibu ‘maonyesho ya sanaa’.
2019-12-10 (1).png


 
Hiyo pesa unanunua migomba na ndizi zake zote, na mashamba kidogo pale Tukuyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom