amanimaendeleo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 251
- 75
David Cameron kiongozi wa taifa la Uingereza taifa lenye uchumi wa tano kwa ukubwa duniani amemnunulia mke wake gari iliyotumika (used) aina ya Nissan micro yenye dhamani ya dola 2000 kwa ajili ya matumizi yake.
Tunajifunza nini hapo waafrika na viongozi wetu?
Tunajifunza kuwa nidhamu ya uongozi na uaminifu wanajali sana wenzetu.
Chanzo: Habari CNN
Tunajifunza nini hapo waafrika na viongozi wetu?
Tunajifunza kuwa nidhamu ya uongozi na uaminifu wanajali sana wenzetu.
Chanzo: Habari CNN