Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

umeona ee! jamaa kanichafulia hali ya hewa huyo! well said grafani!
Hata kama hatuwezi tujaribu kuwa na moyo wa kushukuru kwa madogo mwenzetu anayotutendea hayo makubwa tumuachie Mungu ataongea naye na atafanya kwa wakati wake.

Kwani wakati anafanya hayo, ninani kati yetu alimshauri? Tuache chuki binafsi jamani! ndiyo maana ngozi nyeusi hatuendelei, waungwana hushukuru na hapo ndipo Mungu hufungua milango ya hayo mengine.

Tukumbuke nchi hii ina matajiri wengi sana, mafisadi wengi sana, nawauliza nani kati ya hao amewajali walala hoi kama huyu ndugu yetu Daudi! Hukumu ni ya Mungu, tuache kuchukua majukumu ya Mungu mikononi mwetu.
 
Kwanini tusijiulize pesa katoa wapi kujenga vitu vyote kwa pamoja???pesa ya kawaida c angejenga kidogodogo??? there must be money laundering sign!!!! Na kwanini amekimbilia kujenga msikiti na c hospital???acheni ubaguzi, hosp wangetumia watu wote lakini msikit ni wachache......
 
Mbona Mnalalamika sana kuwa Mnafelishwa???...... ..

Au kukurupuka kwenu kwa kushindwa Kutofautisha kati ya Shule na Madrasa. Ndo Maana CCM inawatumia sana
..... hivi we waweza thibitisha kama wamissionary walijenga Mashule kabla ya Makanisa!....... halafu yaelekea haujui lengo la dini yako!
 
Akili za kipagani bana ! Huo ufahamu wa kusomea unapewa na nani ? Je Yeye hastahiki kushukuriwa kwanza !?

Mliwasifia sana hawa wapuuzi. Wamekamatisha vijana wetu wengi nje ya nchi. Ooh, amejenga msikiti,mara watoto yatima kumbe anatafuta watu wa kuwageuza kuwa punda. Njooni mtuombe msamaha watanzania. S*#n¥ nyie!
 
Mliwasifia sana hawa wapuuzi. Wamekamatisha vijana wetu wengi nje ya nchi. Ooh, amejenga msikiti,mara watoto yatima kumbe anatafuta watu wa kuwageuza kuwa punda. Njooni mtuombe msamaha watanzania. S*#n¥ nyie!

.........mgalatia ni nini kimekufika !?...........mbona hueleweki !?.................naona roho inakuuma kuona Muislaam kafanikiwa !
Katafute sanamu dukani uliombe !:whistle:
 
Kwanini tusijiulize pesa katoa wapi kujenga vitu vyote kwa pamoja???pesa ya kawaida c angejenga kidogodogo??? there must be money laundering sign!!!! Na kwanini amekimbilia kujenga msikiti na c hospital???acheni ubaguzi, hosp wangetumia watu wote lakini msikit ni wachache......
moneylaundering ipi hiyo,atarudishaje hizo pesa kama anajaribu kuziosha,au atauuza huo msikiti?
 
jamaa si ndiyo yumo katika majina ya wauza sembe waliotajwa katika blog ya sinta , ameamua kusafisha kidogo
 
Dah.........jamaa ana mengi sna na maisha yake........ikiwemo kuibiwa mke na mtoto wa Mwinyi.........pia ni mdau sana katika kuuza ule unga wetu usioweza pikika ugali wala maandazi...anyway ni maisha yake na mola wake

Mkuu Safari_ni_safari nimekunyooshea mkono. Uliyasema haya mwaka umepita yameibuka tena katika ile list iliyotolewa na wafungwa .
 
Last edited by a moderator:
DSC_0789.JPG


Kuna ulazima wa kuvaa DERA? (DELA)
 
mbwebwe tu...watu wamejenga misikiti na wanafadhili yatima kibao...ila wala hawana sifa za kujiuzisha sura,
 
Hongera sana ndugu Daudi!

Samahani kwa kuhoji, ningependa kumfahamu huyu Daudi hasa ni nani! Kuna anayeweza kutupa intro in brief kuhusu ndugu Daudi?

Samahani lakini
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.

Hukuwa mbali na ukweli ingawa kuna walio kubeza!
 
mbona ni kitambo hii nilionakwenye blogu ya mshughuli?
je wewe ni mmoja wao?!?!?
 
Watoto yatima? Hizo ndo project za kupiga hela. Biashara ya yatima inalipa sana.
 
Back
Top Bottom