Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

nampongeza kwa dhati, lakini isije kuwa kwa maslahi binafsi siungi na naunga mkono hoja lakini vyote sio kwa asilimia mia.
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
mbona za makanisa zinatoka kwa walipa kodi ambao ni mashoga na machangudoa.....! kanisa lina penda haya!!!
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
Hata kama hatuwezi tujaribu kuwa na moyo wa kushukuru kwa madogo mwenzetu anayotutendea hayo makubwa tumuachie Mungu ataongea naye na atafanya kwa wakati wake.

Kwani wakati anafanya hayo, ninani kati yetu alimshauri? Tuache chuki binafsi jamani! ndiyo maana ngozi nyeusi hatuendelei, waungwana hushukuru na hapo ndipo Mungu hufungua milango ya hayo mengine.

Tukumbuke nchi hii ina matajiri wengi sana, mafisadi wengi sana, nawauliza nani kati ya hao amewajali walala hoi kama huyu ndugu yetu Daudi! Hukumu ni ya Mungu, tuache kuchukua majukumu ya Mungu mikononi mwetu.
 
Mwenyezi Mungu amzidishie mara dufu. Siyo wale wanaoficha fedha kule Uswisi badala ya kuwekeza nchini!
 
Hivi hujui kuwa Madrasa ni shule !? Wagala bana !
Ishu sio wagalatia mwana,but ni vizuru uka accept constructives ideas,kwani madrasa ngapi ziko mjini hapa na hazikuendelezwa?tunahitaji na shule za kufundisha elimu ya kidunia ili kupambana na changamoto zilizopo,ukiambiwa ukweli ufanyie kazi!
 
Aiseee baba yangu huyu jamaa ni mtanzania kweli ?????
Nawasiwasi

ngoja nipate mbege
 
Asa mbona matangazo namna hii? Mwenyewe anajua kama picha na matangazo yote yapo hapa lakini?
Nakumbuka kisa kimoja wakati wa mtume. Tajiri mmoja kaingia Madina na mali zake nyiingi, akaanza kuzigawa kwa maskini na promo kibaao. Basi mtume alipozipata habari za huyo tajiri akataka kuonana nae. Alipoonana nae, akammwagia masifa kibaao, mwishowe akasema, haya basi ulilolitaka mungu keshakulipa (Mji mzima huu tumeshakusifia), kwa hiyo wewe na Mungu mmeshalipana, hamdaiani tena kuhusiana na hili, hivyo usije ukaja kumdai thawabu tena hapo baadae.
Fundisho: Toa au saidia kwa wasiojiweza kimya kimya, lakini sio mafoto na promo za kumwaga. Maoni yangu tu lakini, Mungu ajua zaidi.
 
Hongera zake, ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kuugusa moyo wake. Amenifurahisha kwa kujenga nyumba ya Imamu pia, very considerate of him.
Kaka, sijawahi kusikia mtu binafsi ameruhusiwa kujenga kanisa. Na nadhani ni utaratibu mzuri pia, kufanya kuwe na a sense of belonging. Lowassa na vichange vyake, akisema ana kiwanja anajenga kanisa akabidhi watamtoa mbio hutaamini! Labda hawa wachungaji vijana wa siku hizi na makanisa ya dot.com
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
 
Hivi Daudi si ndio yule aliyenyang,anywa Mke na Mtoto wa Rais Mstaafu,wakati yeye amefungwa Pakistani huku watu wanawowa mke,Halafu wewe Uliyetumwa kumsherehesha Kanyau humu JF,hebu muulize Kuhusu yule Kijana DALLAS wa Wolper, ANAENDELEAJE?,tulisikia wameanza kumtoboa macho kisa hajarudisha hela za unga aliojidhamini.
Halafu pia na Masheikh wetu wasikimbilie kupokea misikiti bila ya kujua source of incomes za huyo aliyeujenga,wao wataupokea hapa lakini Muumba mwenyewe alisha u eject kwenye zaka,HARAAAAAAM!.
 
mh, mkuu acha fitna, hapo kwa kuwa kajenga msikiti ndio imekuwa tabu, angejenga kanisa roho yako ingekuwa kwatu wala usingehoji msikiti aliojenga uko wapi!!!mtu kama kafanya mambo ya maana tumuache jamani, kuhusu pesa katoa wapi wewe inakuhusu nini, ni yeye na Mungu wake..kama ni muumini wa imani hiyo nenda ukaswali hapo msikitini alipojenga na kama sio muumini wa imani hiyo, acha wenye imani yao wakaswali hapo...acha longolongo mkuu!!!
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
 
uimamu kwenye huo msikiti keshampata? analipa kiasi gani? unaweza kutueleza anafanya biashara gani? isije kuwa ndio wale wa pesa chafu!
 
Back
Top Bottom