Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

DSC_0789.JPG

Kuna ulazima wa kuvaa DERA? (DELA)

Kuna ulazima wa kuuliza hili swali!?
 
Hizi picha wakizipata waarabu waliotoa pesa zao kumfadhiri ni lazima wamuongeze pesa nyingine zaidi za kufanya hivi mara 10 zaidi. Hongera mjasiliamari mali mwenzangu. By the way hapa ni wapi? Mleta mada tujuze.
 
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani​
DSC_0646.JPG
Hii ni servant quarter​
Parking ya magari​
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
Kwa ndani​
DSC_0648.JPG
kwa ndani​
kwa nje​
ukuta embu ona kwa karibu!!!​
Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
huu ndio msikiti....!!​
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
naomba nihukumiwe kwa haya ninayosema. huyu jamaa namjua kiundan kuliko unavyofikir, ni muuza unga mzur sana yaan ni wale wanaowatengeneza vijana na kuwatwisha unga. na anauzia hong kong, na china bara pamoja na Thailand, na mara nyingi huwa anafuatana na wanawake kama wawili watatu kwenye safar zake. daa maisha aisee kwel tumwachie Mungu. mtu anajenga mpaka msikiti? lakn pia huwa alikuwaga na duka la nguo pale mliman city pindi flan. cjui sasa.
 
Towa kwa kificho na Dhahiri! Ama kama kuna uwekezaji bora duniani basi huu uko juu!
 
naomba nihukumiwe kwa haya ninayosema. huyu jamaa namjua kiundan kuliko unavyofikir, ni muuza unga mzur sana yaan ni wale wanaowatengeneza vijana na kuwatwisha unga. na anauzia hong kong, na china bara pamoja na Thailand, na mara nyingi huwa anafuatana na wanawake kama wawili watatu kwenye safar zake. daa maisha aisee kwel tumwachie Mungu. mtu anajenga mpaka msikiti? lakn pia huwa alikuwaga na duka la nguo pale mliman city pindi flan. cjui sasa.

Kama ni kweli basi mungu ndie ajuwae alichokifanya hapo (kujenga) kina malipo gani kwake lakini kwa watakaonufaika nao huo ujenzi wauthamini.
 
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani​
DSC_0646.JPG
Hii ni servant quarter​
Parking ya magari​
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
Kwa ndani​
DSC_0648.JPG
kwa ndani​
kwa nje​
ukuta embu ona kwa karibu!!!​
Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
huu ndio msikiti....!!​
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!

Mbona hili ni zee kama mimi tu huo ujana uko wapi sasa promo zingine bhana; hebu tujue hizo biashara zake kwanza ndio tuchangie
 
Kwanini tusijiulize pesa katoa wapi kujenga vitu vyote kwa pamoja???pesa ya kawaida c angejenga kidogodogo??? there must be money laundering sign!!!! Na kwanini amekimbilia kujenga msikiti na c hospital???acheni ubaguzi, hosp wangetumia watu wote lakini msikit ni wachache......

Inamaana hapa kwetu hakuna vyanzo vya kutosha vya kujipati pesa nyingi mpaka hizo unazofikiria ww? tucwe watu wa kuvunjana mioyo kila mja hujikuna anapofikia. Nampongeza kwa alichofanya kwani ni wachache hufikiria haya na khs wapi ametoa pesa na mengineyo ni mungu ndo anajua.
 
Angehonga basi wasingehoji!
 
hayupo kwenye ile listi ya mr president aliyosema anayo au ile ya gazeti la jamuhuri......sio utujengee mzikiti tu hali zetu za kiuchumi mbaya.....tujengee walau shule tuelimike shekhe......tufungue macho na fursa .....
 
Anaonekana kama Teja kiaina... wacha ajipunguzia kuni za motoni
 
Safi sana!!

Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti

Atupe TIN namba yake tufuatilie ulipaji wake wa kodi, maana fedha chafu hazilipiwi kodi, na kama halipi kodi ajue hapo msikitini itakuwa bakora na ngumi kila uchao
 
Hizi picha wakizipata waarabu waliotoa pesa zao kumfadhiri ni lazima wamuongeze pesa nyingine zaidi za kufanya hivi mara 10 zaidi. Hongera mjasiliamari mali mwenzangu. By the way hapa ni wapi? Mleta mada tujuze.
zungu la unga hili.
 
hala hala tu hao watoto yatima wasigeuzwa mapunda.c tunaskia huyo kanyau ni mdau mkubwa ktk ile biashara yetu ya sembe.
 
Back
Top Bottom