Hi Hun:busu:welcome:
Mkuu OLESAIDIMU bora umekuja
Ntuzu na Mndengereko mmeona na olasaidimu nae karudi baada ya Karucee kuonekana
Hii coincidence hii ni balaa sijui tuiiteje bana
Khe Khe Khe Khe
Ataomba poo Leo!
nashkuru mkuu umekuja ngoja nimuangalie Karucee kama ataendelea na porojo zake au atasizi kidogo baada ya kukuona umekuja maana ulikuwa offline alikuwa anatmba sana hapa!!!
Ata Mimi Nashangaa! Ngoja tumuulize Na OLESAIDIMU alikua Wapi?
hhaha eti miss kauzibe na wewe miss nani ??? naona unatamba kisa hajaja hapa akija unakuwa mdogo kama tundu la sindano,na pia usije kunitaja mimi baadae ishu ikiwa kubwa simo kabisaaaaaa ohoo
teh teh teeeeeeh.The one you hate is in now!!!!!
Trouble maker or hun come what may,remains to be labels!!!!
Content will will tell you in a louder tone this round
hhaha eti miss kauzibe na wewe miss nani ??? naona unatamba kisa hajaja hapa akija unakuwa mdogo kama tundu la sindano,na pia usije kunitaja mimi baadae ishu ikiwa kubwa simo kabisaaaaaa ohoo
Ata Mimi Nashangaa! Ngoja tumuulize Na OLESAIDIMU alikua Wapi?
Mimi sio miss. Ni Mrs:smile-big::smile-big:. Malizia Mrs nani basiiii.
Ata Mimi Nashangaa! Ngoja tumuulize Na OLESAIDIMU alikua Wapi?
Maswahibu ya dunia kaka ila tarifa anazo kaka Mr Rocky
Wewe kaka yao mkubwa ukijua inatosha sana kaka!!!Mkuu Ntuzu utafikiri OLESAIDIMU atasema alikuwa wapi hapo andika maumivu aise
Sasa mkuu OLESAIDIMU ulikuja kutembelewa ghafla na Karucee nini mbona mmerejea wote jamvini
Aaaaaanh wapi kama hakuwepo hapa basi ana aje aseme wapi alikuwa!!!!!Sasa mkuu OLESAIDIMU ulikuja kutembelewa ghafla na Karucee nini mbona mmerejea wote jamvini
Mkuu Ntuzu utafikiri OLESAIDIMU atasema alikuwa wapi hapo andika maumivu aise
Ntuzu na Mndengereko mmeona na olasaidimu nae karudi baada ya Karucee kuonekana
Hii coincidence hii ni balaa sijui tuiiteje bana
Nimeokota kipeperushi kinasema hivi
Cc miss neddy