Hizi Data za huakika utazipata kwa walimu wa primaly school(sio wote) sema upo tayari kwa kiasi gani nikuunge na walimu wenye data( nna walimu Dar ,Kilimanjaro na mikoa mingine) so let me know your offer( inbox me)Yaani hawa wana hizo data unazotaka na pia watakupa real wahanga wa hiyo child abuse...it so sad maana wengine wanafanyiwa na baba wakambo .kaka etc so sad ...mimi niliwai lia for days nilipokuwa napewa hizi story