database ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

database ni nini?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Donkim, Nov 5, 2011.

 1. D

  Donkim Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajuzi naomba mnijuze,database inahusika na nini?
   
 2. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Database is the structural arrangement of related data for easy access and retrieval.
   
 3. Codezilla

  Codezilla Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In a laymans language,Database ni kijisanduku ambacho umeweka vyeti vyako(data/datasets)...ukitaka hivyo vyeti kwenye hicho kijisanduku(connect to database)...ukitafuta cheti chako cha kidato cha sita(query database)......ukitaka kuweka cheti chako mpya(insert data)...ukitaka kutupa cheti chako cha chekechea(delete data).....ukitaka kuzuia watu wengine wasije pata vyeti vyako(''username'',''password'')
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Ni sehemu ya kuhifadhi data, Database management system mara nyingi hutumika kucontrol hifadhi hiyo ya data, na DBMS traditionally ni Relational kwasababu Database ziliposhika kasi zilikuwa zinatumika zaidi kwenye data ambazo zina uhusiano e,.g Banking, Accounting etc. hizi DBMS zina features nzuri kwa jili ya data za aina hiyo e.g ACID compliance.

  Siku hizi zaidi na zaidi kuna Database ambazo sio Relational na sio ACID compliant kwa sababu hatuhitaji ACID kwenye kwenye applications zetu na ni rahisi zaidi kuzi scale kwa mamillioni ya watumiaji. e.g Twitter, Facebook, Google etc
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kang
  I thought computerised databse kuwa na sifa ya databse lazima iwe na ACID. Is there any DBMS software , relational, Network or other types ambayo haizingatii ACID?

  Kuhusu swali database ni nini unaweza kuwa na majibu haya
  • Ni mpangilio wa taarifa fulani kwa njia inayoleweka na hivyo kusadiia, kuwezesha kusoma, kutafuta , kuingiziza, kurekebisha au kuhusishanisha taarifa fulani. Unaweza kuwa na Manual database au ukawa na computerised database. Computerised databse ziko za aina tatu kuu. Lakini Relational DBMS ndiyo inaytumika sana na mfano wake ni Database engine kama MySQL , MSQL server na ORACLE.
  Mfano
  h ata Daftari la maudhurio ya wanaafuzi linaweza kuitwa database (Manual) au flat file database. Taarifa fulani iliyotengezwa kwenye Ms excel nayo inaweza kuwa ni database lakini Database ya Ms excel na database ya Myslq zina sifa tofauti kwenye kuhandle mambo ya (Security, Intergrirty, concurrency etc)

  Nawasilisha
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Database sio lazima iwe ACID, tatizo la ACID ni kuwa Database inazidi kuwa slow jinsi watumiaji wanavyozidi kuongezeka kwa sababu ya jinsi inavyoenforce ACID, kwa kufanya locking kwa mfano, na ni vigumu kuscale out (Kuiweka kwenye servers tofauti katika vipande) Database huku ikabaki na ACID properties, inabidi u scale up (Kuongeza nguvu ya server unayotumia) ndo maana Oracle wanauza Database machine moja inayozidi $1 million.

  Ndo hapo zinakuja Database ambazo wanaziita NoSql kwa ujumla, zimetengenezwa ku scale out kirahisi, database moja kwenye maelfu ya servers za kawaida lakini inarelax kwenye mambo ya ACID. HBase, Casandra, MongoDB, BigTable(Google) etc
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hongereni wanajamvi woooote kwa majibu yenu mazuri...mimi langu ni moja tu! jamani...maswali mengine embu tutumie japo akili kidogo...haya mambo yamejaa kwenye google kibao...kwa nini tusiitumie...isitoshe kuna ma tutorial kibao online free kuhusu mambo haya...humu ni kwa ajili ya great thinking things wajameni...vitu ambavyo si ajabu umetumia mda mreeefu sana kuvitafuta online na sehemu zingine umeshindwa wakilisha hapa...maana tukienda hivi ipo siku mtu atakuja kuuliza HIVI NAZIMAJE COMPUTER YANGU? JAMANI tulitumie vizuri jukwaa hili...NAWAKILISHA!!
   
Loading...