Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,297
MOI ipi mkuu? Hii ambayo waliweka tanuri la kujifukiza enzi ya mwenyeheri jiwe?Mkuu,hivi hapo MOI hawaungi ?
MOI ipi mkuu? Hii ambayo waliweka tanuri la kujifukiza enzi ya mwenyeheri jiwe?Mkuu,hivi hapo MOI hawaungi ?
Duh hongera SumatraData za mwenendo wa basi la super feo lililo pata ajali leo asbuh kule hulia zimepatikana... Zinaonesha mama alikua mwendo kasi.. Na lilimshinda mbelenii alianza kukanyaga break za hatariii mara kwa mara.View attachment 2234766
Yani shida sanaaa mkuu..!! Una thamani ukiwa umekamilikaaa hata Kwenye Majeshii hii ndo ipo sanaaNimeona ile picha mkuu life is meangless kabisa we acha alikuwa mzima Leo ndo ivyokazi hawezi Fanya Tena jamani jamani maisha ni mtihani sana kuna watu wanamtegemea miaka mitatu nyuma Kuna rafiki yangu wa kike alikuwa na Mzee wake nae alipata ajali kazini akakatika mkono wote kazi Aliachishwa maana ni wahindi maisha yalikuwa magumu mpaka kesho yaani na mzee mkono unamuuma analia sometime mpaka usiku
Juzi naenda Dom imenipita Abood ina speed 110... nimeifukuzia nikasurrender84km/h? Kuna mabasi yanatembea 115km/h
84km/h? Kuna mabasi yanatembea 115km/
Acha Tu!Nimeona ile picha mkuu life is meangless kabisa we acha alikuwa mzima Leo ndo ivyo 😥😥kazi hawezi Fanya Tena jamani jamani maisha ni mtihani sana kuna watu wanamtegemea miaka mitatu nyuma Kuna rafiki yangu wa kike alikuwa na Mzee wake nae alipata ajali kazini akakatika mkono wote kazi Aliachishwa maana ni wahindi maisha yalikuwa magumu mpaka kesho yaani na mzee mkono unamuuma analia sometime mpaka usiku
Jr una roho ngumu!