Basi la Super Feo Songea-Dar via Lindi limepata ajali. Dereva mwanamke avunjika mkono

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
Bus la Super Feo Songea Dar via Lindi limepata ajali asubuhi hii eneo la kijiji cha Hulia. Hakuna vifo ila majeruhi wengi wamefikishwa Hospitali ya Kiuma. Kuna taarifa kuwa Dereva Halima ambaye alikuwa anajizolea sifa za uendeshaji bora wa mabasi amekatika mkono.

Tunakuombea Halima upone haraka. Na WCF wamsaidie kuboresha maisha yake baada ya ulemavu huu wa kudumu.

Poleni majeruhi.

Na report kutoka eneo la tukio. View attachment 2234078View attachment 2234079

=======================

Kuhusu tukio hilo RPC wa Ruvuma, Joseph Konyo amesema: “Ni kweli kuna ajali ya hilo basi imetokea leo asubuhi, hakuna mtu ambaye amepoteza maisha zaidi ya majeruhi, tunakusanya taarifa tutatoa ripoti kamili.”

IMG-20220522-WA0024.jpg
 
View attachment 2234080
Kadondosha la hela nyingi G7 dah
 
Back
Top Bottom