ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Una surrender 110 km/h? Utakua ulikua na gari ya mkaaJuzi naenda Dom imenipita Abood ina speed 110... nimeifukuzia nikasurrender
Una surrender 110 km/h? Utakua ulikua na gari ya mkaaJuzi naenda Dom imenipita Abood ina speed 110... nimeifukuzia nikasurrender
Pale mafinga alikuwa anashuka ule mteremko na kasi ya ajabu ilikuwa tukiiona tunaita kisu hicho.Giriki hasa ile ya tunduma ilikuwa hatari mpinzani wake alikuwa masia.Umenikumbusha Giriki enzi za Tawaqal
Giriki, hatariUmenikumbusha Giriki enzi za Tawaqal
Hata mi nimeshangaa maana hiyo speed hata landrover 109 inaipita hiyo bus.Una surrender 110 km/h? Utakua ulikua na gari ya mkaa
Kwa njia ile 84km/h jinsi ilivyo na corners nyingi za karibu karibu ni zaidi ya hatariMbona speed kawaida.... 84km/h na top limit ni 80.....
Nimetoka kuiona sahivi,kweli hakuna matumaini, mdada wa watu na alivo mzuri, hapo labda asomee urubani Sasa Mana ndege za siku hizi Zina oparate kwa joystick
Kwa KE,84KM per hr ni speed Kali mkuu.Umenikumbusha Giriki enzi za Tawaqal