Data entry (Sage Pastel Software)

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
May 8, 2013
212
81
Anatafutwa data entry cum Cashier anayejua vizuri kutumia hii software hasa upande wa inventory management. Ofisi iko maeneo ya Kimara wilaya ya Kinondoni

Sifa:
  • Astashahada/ stashahada/shahada ya uhasibu
  • Uwezo wa kuandika na kusoma kiingereza
  • Kujituma katika kazi, na uwezo wa kufanya kazi muda wa ziada
  • Umahiri katika kutumia kompyuta
  • Uthibitisho wa uaminifu
  • Umri 25- 35
Inbox au tuma sms kwa 0754300880 au andika tujikomboetz@yahoo.com
 
Bro, mie nina shahada ya computer science but data entry ni kazi ambayo nauzoefu nayo, ninao uwezo wa kujifunza haraka, kujifunza vitu vipya na hata matumizi ya hiyo software kwa haraka na kutoa majibu na faida kwa kampuni kama inaweza kuni train! Mkuu naomba hiyo nafasi, natanguliza shukrani
 
Una sifa zote ila hujui kufuata maelekezo.
 
Back
Top Bottom