Data bundle Tanzania

TTCL

2gb - 2,000 Tsh / wiki 1
3gb - 2,500 Tsh / wiki 1
5 GB - 5,000 Tsh / mwezi 1,
 
Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi

Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Voda napata GB 1.2 kwa wiki na nyongeza ya dakika 100 voda kwenda voda na dakika 30 mitandao yote na sms 500 japo nahisi situmii hata moja
 
Mimi nazipata kwa 1500
Kwa ss tigo vifurushi vyao ni ushuzi mtupu yn wamebadilisha kila kitu natamani kuitupa chooni laini yao haina mana yyte, yn apa kilichobaki ni mazoea tu ila line hamna, na kwa bundle za kisenge km hz wasahau km ipo cku ntajiunga kwa line yao maamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…