Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Napenda nipate lau nafasi,
Niweze kusema nawe kidogo,
Ooooh The secretary,
Rohoni naumia.......
La kufanya bado sijaliona,
Huenda roho yako ikadunda,
Iko siku utaja nipoza,
Ooooh mamaaa.......
(Darling,upendo wangu kwako umenikumbusha enzi nakula rumba la Kilwa jazz....i love you,mmmmwwwwaaaa).
Wanga wote wakiongozwa na sukununu .zinduna na wajinyonge!

Last edited by a moderator: