Darling The secretary.....

Darling The secretary.....

attention:
kwa wote mnamsarandia darling beibe wangu The secretary mwenzenu nimechoka na vurugu xenu kuingilia anga zangu,navaa mabomu niwe askari wa kujitoa mhanga.
 
Last edited by a moderator:
Thanks ma dia....miss you sana mumy!
Niko naangalia jukwaani hata siwaoni rafiki zangu na nimewamiss sana......!
Hebu saidia kuwasalimia ukiwaona!



zimefika. watu wako busy nakuhesabiwa wanaogopa kukosa vyoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom