Darling The secretary.....

Darling The secretary.....

Sijambo my dear!
miss you much!
happy to see you!
Thanks ma dia....miss you sana mumy!
Niko naangalia jukwaani hata siwaoni rafiki zangu na nimewamiss sana......!
Hebu saidia kuwasalimia ukiwaona!
 
we Erickb52 leo kidogo nikutafute nikasema umezoea kutafutwa ngoja nimsikilize huyu babu jinga eti leo ndo anakuja
 
we Erickb52 leo kidogo nikutafute nikasema umezoea kutafutwa ngoja nimsikilize huyu babu jinga eti leo ndo anakuja
Yan The secretary nakushangaa unavyokomaa na huyo babu utadhani kakuloga lol
Njoo kwa vijana watanashati wanaojua kucare na kutoa mambo ya ukweli hadi unadata sio hao wazee wanakuzeesha bure binti bado mdogo!
Come bby achana na Bishanga aendelee kuuza ndizi na banana wine!
 
Last edited by a moderator:
miss u too huyu atakuwa baba mkwe soon we mwache
Tatizo lako nawewe unakuwa mwoga sana...kwanza Bishanga keshazoea kuachwa wala usimuhofie kwa lolote!
Come to ma way and see the difference love!
Mwaaaaaah
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom